Rafiki yangu mmoja aliniambia moja ya sababu ya kuachana na mpenzi wake nikuwa wakiwa pamoja alikua akihisi kua labda mpenzi wake havutiwi na yeye.
Kwamba alikuwa akipita mbele yake kwa madaha na kumtega lakini mwanaume alikuwa hategeki. Alianza kuhisi kama analazimishia mapenzi na kutokua na furaha kabisa, mwanaume alikua akimuangalia kama vile ambavyo Kaka yake humuangalia nyumbani!
Raha ya mapenzi ni kule kuendelea kutongozana kila siku, kutamaniana na kusisimuana. Mwanaume unapaswa kujua namna ya kumaungalia mpenzi wako.
Kwamba kuna wakati atapita mbele yako, ataacha nguo wazi. Ataacha mapaja wazi, atarembua kwa madaha, atachezesha kiuno chake, atachezachesha kimapenzi, mkionge aatalegeza sauti kidogo tena kw amakusudi.
Acha kumuangalia kwa hasira kama unamuangalia jirani yako unayemdai, acha kumuangalia kama anakosea, acha kumuangalia kama humuoni kwamba mpenzi wako kapita na khanga moja hata hustuki uko bize na TV.
Inakera, usifikiri anapita kwa bahati mbaya wakati mwingi ataka kukutega ili ajue kama bado anakusisimua au umeshaanza kumchoka. Kua makini na unavyomuangalia, jifanye kama unacmhungulia a sisimkwa kwa kila kitu.
Anaweza kuwa bafuni ukachungulia kidogo na kujifanya bahati mbaya, anaweza kuwa anapika kanga ikakaa vibaya , pitishapitisha macho huku ukitabasmau, mmekaa kwenye gari nguo imemvuka.
Badala ya kumuambia rekebisha mchungulie na tabasamu, finya jicho moja pale akiona unamchungulia, kwanza mko wawili unamuambia arekebishe nini.
Isitoshe inawezekana kafanya makusudi na wewe badala ya kustuka na kuchungulia kama ndiyo kitu kipya unajifanya umekaa vibaya sasa ulitaka asimame vibaya!
Iko hivi, siku ya kwanza ulipokutana na mpenzi wako alikuvutia kitu flani, hiyo ilikua ni kwa bahati mbaya, lakini siku ya pili alipokubali kukutana na wewe kila kitu ulichokiona hakikuwa bahati mbaya.
Yaani kila nguo mwanamke aliyoivaa siku ya pili mlipopanga kukutana alivaa makusudi kwaajili ya kukuvutia, siku hiyo hata chupi aliivaa nzuri ili kukubvutia hata kama alijua kuwa hata lala na wewe.
Alitaka kuwa comfortable kwaajili yako, sasa wakati huo ulimuona mzuri, sasa kila siku mwanamke anataka umuone mzuri na kwakua wanawake si watu wa kujiamini ndiyo maana kila siku unatakiwa kumkumbusha kuwa bado anakusisimua.
Hii si kwa kumuambia tu bali kwa kumuonyesha na kumchungulia ni moja ya jambo muhimu. Mkeo amezaa, anawasiwasi kuwa labda matiti yake yamelegea na huyapendi tena, sasa wakati anavaa hembu chungulia kidogo.
Pitisha macho kwenye Braa ikikaa vibaya na onyesha msisimko, ndiyo atajisikia vizuri kuwa kumbe bado anadai. Sasa wewe jifanye mgumu sijui mambo ya kike hayo kana kwamba umeoa mwanaume.
Wewe huoni utamu wako lakini kila siku akipanda Bajaji dereva hugeuka geuka kumchungulia mpaka anaona anasema “Angalia mbele utagongwa… Unajua mimi mke wa mtu lakini usiniangalie hivyo…”
Huku anacheka na kutabasamu, anajihisi mwanamke tena. Kule kutamaniwa ndiyo uanamke sasa kama unamfanya ajihisi mwanamke akiwa kwenye Bajaji tu, ipo siku atataka kushuka na dereva pia. #BADILIKA
Tengeneza msisimko katika ndoa yako. Kwa mwanaume kusoma kitabu cha “Ndoa yangu Furaha Yangu” Utamjua mkeo anataka nini na hatakusumbua. Lakini pia mwanamke utaweza kudumisha msisimko katika ndoa yako.
****
****

0 Maoni