
(1) Ukiona mwanaume, kila sikua kigombana na mke wake, mwanamke akimfanyia kitu kidogo kibaya anakua ni wakwanza kuongea, yaani anakuja kwako kila siku kusema mke wangu kanifanyia hivi, mke wangu ananifanyia vile, anasema mke wangu sijui Malaya, ana tabia mbaya, kila siku analalamika.
Mke akikosea kidogo ashampigia simu mama yake, dada zake,s hangzai, majirani na kila mtu mpaka na mashabiki sijui wa timu gani basi jua kuwa huyo mwanaume ndiyo ana matatizo. Narudia hata kama ni Kaka yako, lakini ukiona kuwa wiki haiishi anakuja kumlalamikia mke wake kuwa ana tatiozo hili, ana tatizo lile, basi jua hapo mwenye tatizo ni ndugu yako si huyo mwanamke.
(2) Ukiona sasa,a namtukana, anamdhalilisha kwenu, anamzungumzia mabaya mke wake, mnaongea mnasuluhishwa lakini hawezi kumuacha huyo mwanamke. Mpaka inafikia hatua mnahisi labda mwanamke kamloga basi jua kuwa ndugu yenu tatizo lake ni kubwa zaidi, hajiamini na anahisi kuwa hamridhishi mke wake. Wanaume wenye matatizo ambao inawezekana hawana nguvu za kiume au wanazo ila hawajiamini wanadhani wanazo wana tabia moja.
Kwanza wanapenda kuwachafua wake zao, kuwadhalilisha kwa ndugu na majirani, ili wao waonekane malaika, lakinsi hida moja nikuwa hawawezi kuwaacha hao wanawake kwakua wanawavumilia, wanawafichia aibu zao. Mtaongea, mtapiga kelele kwanini humuachi ila mwisho wa siku wanajua hivi nikimuacha mke wangu, nikaoa mwingine akashindwa kunivumilia si ataniacha na kunitangaza itakua aibu.
Lakini wanawaza, nikioa mwingine nikaanza kumtangaza basi si itaonekana kuwa mimi ndiyo mwenye matatizo, bora nibaki na huyu, ni mnyanyase watu wajue ndiyo mwenye matatizo ila ukweli ni mimi! Wanajua wana matatizo na ukiwasikiliza unaweza kudhani wanaonewa, wanateswa lakini uwkeli nikuwa ni washenzi.
Wengi wanakua Malaya sana na kazi ya kupiga wanawake, hivyo ukiona ndugu yako kila mikutana anamsema mke wake basi, muambie tu huo sio uanamu,e kaa ongea na mke wako malizana naye,a cha kumuongela mabaya
0 Maoni