BABY AKISAFIRI SIKU AKIRUDI LAZIMA NIMFANYIE HIVI KAMA NTATUMIA CHUMBA CHANGU

Related image


Naandàa zawadi (kitu anachokipenda)


Ntajiweka smart kuanzia mwili mavazi mapaka mazingira

Nachagua nyimbo laini za mapenzi za kupiga SIKU nzima

Chumba nakiweka tofauti na alivokizoea

Naepuka stress zinazoepukika siku nzima.

Akishafika tu namkumbatia ile kama kumng'ang'ania asikuachie mpaka niliskie joto lake after hapo sasa ntahikikisha naoga nae huko sasa ndo ntakakoanzia mbwembwe tukifika chumbani wote tushaku wa moto yaani na kale ka ugwadu ka kummis MTU mnajikuta tayari mpo ulimwengu mwingine..kushtuka tayari mmemaliza.

Hapo sasa akili inakaa sawa naanza kuskiliza kamziiki kwa mbaali hisia zinakuja tena lazmabntaingia tena mzgoni.

Hapa some time unaeza ukajikuta muda wa kuamka kusali umefika hlf sijalala. Inabidi usiamke Bali unyanyuke uoge ufanye ibada ndo ulale.
#rahayamapenziumpatewakowahalalimfanyebilamawazo#e/

Chapisha Maoni

0 Maoni