Baby siku hizi tangu nimekupa penzi langu mbona upo kimya sana? 😭

Image result for lovers african couple photo style

Marry : Baby siku hizi tangu nimekupa penzi langu mbona upo kimya sana? 😭

John : umeaanza ujinga? Ni majukumu tu 😉

Marry: Kwani hayo majukumu kabla ya kuwa nami hayakuwepo? Au ndio kwasababu ulikuwa unanitaka? 😢

John: Yalikuwepo ila nilijitahidi kujibana usijue nipo busy. 👫

Marry: Sahizi tatizo nini, kwanini usijibane? Nakuomba muda wako kwaajili yangu tafadhari. 🙇🙇 John: Mmmmh sio lazima, kwani kuna kipya kwako sahizi? Nilikuwa nahitaji penzi lako na umeshanipatia nimelienjoy sasa nini kingine nitake kwako? 😣😣 Marry: Aaaaah kweli John Mpenzi wangu leo unasema haya? 😭 mbona uliniahidi kunioa? Nikakuamini, leo unanigeuka?
John: Sijakugeuka, kama ningekuwa nahitaji kukuoa wala nisingekutaka kimapenzi kabla, na kwanza kama kweli ulikuwa umejipanga kuolewa na mimi kwanini ulikubali kunipa penzi lako kabla sijakuoa? 😫😫 Marry : John Mpenzi achana na hayo Nakuomba, kumbuka uliniomba mwenyewe na kwasababu nilikupenda sikuona haja ya kukuzuilia angali kweli utanioa kama ulivyosema.... Nihurumie Mimi. 😥😥 John: Kama kweli wewe ni mwaminifu na unastahili kuwa mke wa mtu kwanini ulikubali kutoa penzi kabla ya ndoa?🙇 Na kama leo umenipatia mimi kilaini hivi je tangu uanze sekondari, umesoma chuo huko kote umewapatia wangapi? 🤔🤔
Kwangu ule ulikuwa ni mtego tu nashukuru nimekujua wewe sio mwaminifu, haujitunzi unagawa tu kisa muhemko wa hisia zako. 😏
Siwezi kukuoa, nakuacha uwe umejifunza kama atakuja mwingine atakayetaka kukuoa ujue usikosee wapi? 🙄

Marry: Sawa nimekuelewa japo si rahisi kuamini leo namkosa mwanamume niliyempenda kwa hiari, daaaaah basi tu mimi. 😥😭 John: Kwa heri, sina la ziada. 🚶
Marry: kumbe, mimi nilikupa penzi kama ishara ya mimi pia kuthamini hisia zako na kwa imani kwamba utanipenda zaidi usiangalie wengine kumbe haya ndiyo malipo🙏🙏 John:ulikua unaimani gani utawashinda wanawake wote nilio lala nao mpaka nikuone wewe ni bora nikugande,, hukujua kwamba nilitaka pia nikupime uwezo wako kitandani na maumbile yako je yatanifurahisha

Marry:😭😭 Naamini Mpenzi msomaji umeelewa kitu hapa, niambie umeelewa nini ili na wengine wajifunze kisha share post.
@maisha_halisitz

Chapisha Maoni

0 Maoni