ZINGATIA HILI


Image may contain: 1 person, standing
Ninaposema mpenzi wako anatakiwa kukuhudumia simaanishi kua anatakiw akukulipia kodi ya nyumba (Labda kama kila sikua ashinda na kula hapo) siemi kwamba eti awasomeshe wadogo zako, sisemi kwamba eti akufungulie biashara, sisemi kwamba eti awe anakupa kiasi flani cha matumizi kila mwezi! Hapana, dada yangu huyo si mume wako ni mpenzi wako hivyo hana wajibu na si kazi yake kukupangia nyumba, kama huna kodi ya nyumba rudi kwenu hujakua bado kuondoka nyumbani.
Labda kama yeye ndiyo kakuambia upangishe ili akutumie vizuri, sisemi kwamba anatakiwa kukununuli fenicha labda kama anakuja kuzitumia kila siku. Ninachosema nikuwa angalaua kupe pesa ya saluni utengeneze nywele amabzo anazivuruga, angalau ukiumwa basi akusaidia kuutibu huo mwilia naoutumia kila siku, angalau vi underwear, night dress na vinguo nguo nambavyo anakuvua yeye basi anunue na angalau baso vivocha ambavyo unampigia yeye.
Logic hapa nikua anakutumia hivyo asikuchoshe sana bila kuhudumia chochote lakini sio kumpa majukumu ya mume wako. Tatizo hapa linakuja pale yeye anapotaka uwe kama mke wake, atake akupangie maisha,a take sijui usifanye kazi, usifanye biashara, akupangie mwisho wa kutoka,a take kila siku uende wkake kufua na kupika hapo sasa ashakufanya mkewe na nilazima ahudumie kama mke. Sio akufanye mke lakini hatoi chochote au anaishia kukuchuna wewe wewe, hapana sio hivyo maisha ni tofauti kidogo nilazima alipie kile anahcotumia hata kama mnatumiana.

Chapisha Maoni

0 Maoni