KWA NINI HOUSE GIRL ASIMCHUKUE MUMEO,,

Image result for SOMALI BEAUTY GIRL

MUME: darl ninakikao mkoani kesho naomba niandalie vitu plz

MKE: dada zile nguo za baba pmj na soksi ulifua?

DADA: ndio nimepanga kabatini. (Mama anarudi chumbani na
kumuomba hubby wakacheki TV
sebulen,, lakn baada ya muda mama anamuita dada akapange suruali kadhaa na mashati kwa ajili ya safari ya kesho,, dada anapanga kila kitu anatoka.) MKE: kama tayari hakikisha unarekebisha yale mashuka pale kitandan weka na maji bafuni.
(Dada anafanya na kwenda zake

kulala,, asubuhi dada anaamka
mapema na kuandaa kila kitu
ikiwamo na chai,, baba anakunywa chai na kutaka kuondoka.)
MKE: dada msindikize baba ili ufunge geti sababu bado ni giza

DADA: sawa mama.
(Dada anatoka na begi la baba hadi nje kwavile mkewe yupo ndani,, baba anamtaka dada abaki vizuri na watoto,, dada anaitika na kusema nawao wanamuombea safari njema.
Baada ya muda baba anarudi toka safari.) MKE: (huku akitabasam) dada si umemuona baba amerudi vipi chakula tayari?

DADA: ndio.

MKE: haya kapange meza vizuri mimi nandaa juice. (Baada ya muda wanakula na baba anagundua juice sio nzuri anaamua kuiacha na kusema leo wamesahau kuweka baadhi ya vitu hivyo hataweza kuinywa. Baadae baba anakumbuka kuwa aliacha boxer zake kwenye ndoo ya maji chumban na kufunika mfuniko, anamuuliza mama vipi zile nguo zangu kwenye
ndoo zilifuliwa? Maana nilisahau
kusema kama zina maji.) MKE: (dada njoo hapa) hivi zile nguo za baba chumbani ulifua?

DADA: ndio mama
(lakin hasemi kama alianua na kuweka chumbani kwake akidhan atakunja baada ya kazi
kupungua)

MKE: darling zilifuliwa.

MUME: na watoto vipi wameshalala?

MKE: anajibu wamelala darl.

MUME: vipi dereva wao alifika kuchukua pesa yake?

MKE: dada eti uncle Hassan amechukua pesa yake?

DADA: hapana wamembadilishia gari uncle Hassan amesafiri kwa muda.

MKE: tutampatia darl siku akirudi acha dada aendelee kuitunza

MUME: basi vizuri, ehee vipi na tution walienda leo?

MKE: ndio walienda
(anamgeukia dada, si eti ee walienda si eti)

DADA: hapana Kelvin anaumwa leo siku ya pili nilinunua dawa dukan nimempa lkn hajambo.

MKE: (anashangaa)
Yes anashangaa maana hajui kama mtoto anaumwa na tuition hakuenda.

Chapisha Maoni

0 Maoni