Kama unatongozwa na mwanaume ambaye wewe mwenyewe unaona kabisa kua huko mbeleni utamkubali

 

ni ile sitaki na taka hembu wakati wa kumkataa usilogwe ukasema “Nina mtu wangu!” Unapomuambia mwanaume hivyo sio kama atakata tamaa, hapana mwanaume kamili hukata tamaa pale anapokua tayari kapata, lakini kitakachotokea nikua ataendelea kukutongoza lakini akijua kua una mtu na yeye anataka kupita tu.
Ukimkubali sasa wakati yeye ashatengeneza akili yake kua anapita kumbe wewe ulikua unamzungusha ukitaka kumkubali mazima na kumganda hatajua ni kwakua unampenda bali atahisi nikwakua umeachwa huko ndiyo umekuja wkako, atakuona kama makombo. Najua aanajua sio bikra lakini hakuna kitu ambcho kinauma na kinakatisha tamaa ya kuendelea kuwa na mwanamke kama kujua kua a amekukataa baada ya kuachwa na mwanaume mwingine.

Chapisha Maoni

0 Maoni