
Chukua hatua my dia
Tena leo, tena usiku huu
Tena baada tu ya kumaliza kuisoma post hii📌💊💊💊🤔 Mi nikupe dawa hapa ..ukiona una mahusiano na mtu wewe ndio unayefanya kila kitu..wewe ndio unayepiga simu ..wewe ndie unayemuanza kumtumia text..ukipiga simu subiri ntakupigia baadaye afu ndio ntolee..usiku mulizoea kuongea sana lakin ghafla anakuambia nimechoka..mara ooh nausingizi!!!muda mwingine anakutumia tu text nalala usiku mwema!!au usiku na usingizi lakini ukicheki whtsaap yupo online mpk SAA sita..kesho utamlalamikia lakini bado ngoma iko vile vile..fanya hivi tena kwa ghafla bila kumtaarifu..acha kumpigia simu!!acha kutuma vimeseji vya kulia lia au kumlalamikia!!acha kuweka au kupost vistastus vya huzuni huzuni..yaani pig kimya ghafla..hata akikutumi sms usijibu puuzia !!ukiamua kujibu vuta Masaa hata sita afu jibu kifupi fupi tu!!!kuwa busy na mambo yako...najua inaweza ikawa ngumu na painfully hasa kama unampenda Kweli!! Ila hii itakusaidia kujua thamani yako n kujua uko sehemu gani kwenye moyo wake..ukifanya yote hayo hata kwa week tatu asipokutafuta naye akaaa kimya itakusaidia kujua kuwa mtu uliyekuwa naye hakuwa sahihi kwako shukuru MUNGU anza maisha mengine fungus ukarasa mpya wa maisha yako..ni heri ukajua nafasi yako kuliko kupoteza muda kwa mtu asiye sahihi...pia ukiona baada ya kukaa kimya hata siku tatu au NNE anaanza kutuma vimeseji sijui mbona kimya!!sijui sikuelew sikuhizi!!mara sijui mbona umebadilika mwambie niko sawa anza kukomaa hivyo hivyo usiruhusu chatting kuendelea .wala mawasiliano au chatting kuwa ndefu komaa hata mwenzi hakikisha ame struggle hasa na amefight hasaa...ukiona umekomaa hata ka mwez bado akawa anaendelea kupambana unaweza kufanya maamuzi ya kunrudisha maana kuna ka somo atakuwa amekapata na kuhakikishia ulinzi wa kihisia atakao kupa you will feel it maana atakuwa tayari ashajua maumivu ya maji ya moto yakimwagikia.lakin ukiwa mtu wa kulia lia kila saa my dear utakonda utabaki kama kuni mbichi huku mwenzio anakuna kitambi tu.
0 Maoni