1. Usimpige
2. Usimtukane na kumshushia heshima.
3. Usimfanye ajihisi hapendwi na anamkosi.
4. Usimbake.
5. Usimsaliti na kujionyesha kabisa kwamba una saliti.
6. Msikilize pale anapokua na stress, mpe muda wako, mkumbatie na mpe maneno ya faraja.
7. Mpe zawadi, hata kama ni ndogo kiasi gani kwake ni alama tosha.
__________________________
Onyesha wema wako kwake, nae atakupa mapenzi.
Mpe tabasamu nae atakupa kicheko
Mpe moyo wako, nae atakupa maisha yake
Mfanye awe mke wako, nae ataijenga nyumba yako kwa mikono yake mwenyewe.
Mueleze malengo yako, nae atakusaidia kuyafikia.
Mpende, nae atakutii.
Mtendee mabaya, nae atafanya maisha yako yasieleweke.
Vice versa is also true!
"Waste no more time arguing about what good man should be. Be one!"
Ladies, nimezungumza vyema? Men, Nazingua?
https://www.facebook.com/allaboutrelationshipandlife/
0 Maoni