Watu wenye furaha sio wale wasiokutana na changamoto bali ni wale wanaojua NAMNA ya kushughulikia changamoto. Changamoto haiondoki kwa kuwa MLALAMISHI tu, bali huondoka kwa MBINU, HATUA SAHIHI na kuwa na mtazamo chanya. Ondoa mihemko katika ndoa utayaona matokeo chanya, ila ukiruhusu mihemko iongoze ndoa yako utaona matokeo hasi.

0 Maoni