Tangu umeanza kumuwaza huyo bwana ako asiye na huruma muuaji na mkondeshaji umepata faida gani..

Image result for AFRICA BIG BOOTY

Tangu umeanza kumuwaza huyo bwana ako asiye na huruma muuaji na mkondeshaji umepata faida gani..
Ona ulivyo kua waajabu yaani unajitengea muda tulivu kabisa wa kumfikiria jamaa
Ambaye hajajari mda ulioypoteza kwake
Heshima ya kuwakataa wengi na kumpata lidhaa ya kukumiliki
Kuacha mengi uliyokua unayapenda kisa yeye hapendi ili umlizishe tu..
Sasa leo ona mikao anayokukalisha chumbani chini ya mti jikoni mpaka chooni una muwaza yeye tu...
Vipi ulisha wahi kukaa hivyo kwa masikitiko na kujiuliuza wapi unakwama kwenye biashara yako
Kwenye masomo yako
Kwenye malengo yako yaani ukawaza mpaka ukalia mwenyewe kwa kujutia kuchelewa kuufikia utajiri kwa sababu ya kukwama katika mipango yako..
Lakini ona unavyoutumia mda kijinga kukaa kuwaza jitu flani baya la sura mpaka roho..
Ambalo inawezekana labda hata lilitumiaga mizizi kukupata kuliwaza mpaka huli
Hulali
Husemeshani na wezako mpaka wazazi wako wameacha kazi kwa kukuangalia et unaweza ukajiua...
Dear love..
Pole wewe ni wa Mungu hata umekosa makosa gani lakini gani
Hata kama huendagi kanisani au msikitini yeye bado anakujari na kukulinda na kukuepusha mengi mpaka yale unayoyatamani uyafikie..
Trust me
Acha ujinga huo simama na move on
Huyo ni shetani aliyetaka kuja kukumeza na kukupotezea direction yako..
Mungu kaona inatosha mda aliokupotezea sasa fikilia zaidi juu ya nini ufanye ili uwe fulani hapa mjini
Wewe kama wewe
Na siyo wewe na fulani
Anza sasa kuwaza uanzie wapi ili ufikie nia yako ya kua na duka la nguo za watoto
Salon kubwa ya kuwapamba maharusi
Duka la madera la jumla jumla
Mgahawa maarufu na wakutegemewe
Mwandishi mahiri wa vitabu..
Na ndoto yako yoyote
Jutia kumpa nafasi mtu huyo kisha achana naye mara moja
Achana naye chukua simu yako
Hebu ka follow page yangu mpya ya @fursa_halisitz
Ukajifunze ujasiria mali, mkubwa baada ya mwaka mmoja aanze kujitangaza alisha wahi kua na ww
Hata hawata mwamini...
Mimi nimemaliza kama nimekutukana kwa kujidai oooh
Nilimpenda sana jamani
Nitapata nani zaidi yake..
Hapa tz kuna watu zaidi ya milioni 5
Yupo wako mzuri na atakayekusupport kwa kila unachokifanya baada ya kuanza maisha yako mapya leo..
Nakupenda
Move one

Chapisha Maoni

0 Maoni