TABIA ZA MSICHANA ANAYEPENDA LAKINI HAWEZI KUSEMA.




TABIA ZA MSICHANA ANAYEPENDA LAKINI HAWEZI KUSEMA.
1. Atakutega kupata attention yako. Hufanya mambo ambayo yatamfanya kuona kama unampenda au lah! Mf wa mambo hayo ni kujifanya anaumwa na kuangalia respond yako kwake ni kiasi gani unamjali na kiasi gani utahangaika kwa ajili yake au
2. Haoni aibu kugusa sehemu yako ya mwili. Msichana anayependa haoni aibu kukushika mkono ama kukutomo...sa au hata kukumbatia. Kwa kufanya hivyo hujua kuwa kwa asilimia kubwa hisia za kushikana kwenu kutamrahisishia kazi ya kuwa na wewe
3. Kucheka kwa nguvu hata kwa kitu kisicho chekesha endapo wewe umezungumza. Mara nyingi ataonesha uso wa furaha hata kama si furaha ya kweli
4. Wivu.
Hujisikia wivu anapokuona na wasichana wengine. Ukiwa unachart nao na ukiwaita majina ya kimahaba. Hapendi.
5 anakumbuka siku zako muhimu. Hukumbuka kama vile siku yako ya kuzaliwa hatowez kuisahau kufanya ipite bila kukutakia heri ya siku ya kuzaliwa kama sivyo ukifaulu mtihani au chochote katika maisha yako atakuwa mbele kukupongeza
6. Eye contact anapenda kukuangalia machoni muda wote ambao mtakuwa mkizungumza pamoja akidhani kuwa utaelewa ni kiais gani anakupenda kupitia vile ambavyo anakuangalia.
Ila wengine huona aibu kuwatazama wavulana wanaowapenda si wote wana ujasiri wa kuwatazama wapenzi wao.
7. Hupenda kukaa mmuda mwingi na wewe. Hawezi kupoteza hata sekunde ukimuhitaji kwa mazungumzo. Anajisikia furaha kukaa na wewe muda mrefu bila kuchoka. Anaweza akaacha kila kitu anachokifanya ili ajumuike na wewe.
8. Yupo tayari kuangamiza. Kama msichana anakupenda yupo tayari kusacrifice. Ni kitu ambacho hakuna mtu ambaye anaweza akafanya kwa mtu mwingine. Utaona vipi huyo msichana alivyo kwako na wa wengine. Yaani yupo tayari yeye akose lakini wewe upate na kwa mwingine anaweza akamwamba hana alichoombwa lakini akakupa wewe kama pesa na vitu vingine.
9. Anachukulia matatizo yako kama ni yake. Unapomueleza kuwa ana tatizo anajali tatizo lako kama vile ni lake na hujisikia vibaya sana na kuhuzunika na atafanya lolote ili aweze kukusaidia utoke katika hilo tatizo.
10. Mikwaruzano ikitokea katika urafiki wenu hayupo tayari kukupoteza kabla hajakuambia anakupenda. Kwa kuwa anakupenda endapo ikatokea mikwaruzano basi atafanya juu chini kuyaweka mambo sawa ili asikukose.
10. Hatokulinganisha wewe na watu wengine yaani hawezi hata siku moja kusema wale wengine ni zaidi ya wewe siku zote atakusifia na kukuweka wewe namba moja kama vile hakuna kama wewe.
11. Hawezi kuongelea kuhusu wavulana aliowahi kudate nao au kama aliwahi kufanyiwa jema lolote na mvulana waliyeachana basi atakataa na kusema kule alipotoka aliumizwa sana na anayachukia mapenzi anachotaka ujue ni kiasi gani anajisikia furaha kuwa karibu yako na anaona wewe unafaa kumfuta hayo machozi
12. Atakusaidia katika mipango yako. Atakupa moyo katika kila jambo unalotaka kulifanya au unalopanga kulifanya hapo baadaye na kukupa ushauri pale ambapo unahitaji au kukuambia unaweza pale unapoona umeshindwa
13. Anakusikiliza. Anakusikiliza kwa makini tena sana na kujifanya anakuelewa hata kama si kwamba ulichoongea ni sahihi asilimia zote.
14. Kama kweli anakupenda yupo tayari kukunulia zawadi hajisikii vibaya hata kutumia pesa yake ya mwisho aliyo nayo kwa ajili yako kukufurahisha.
15. Atakuruhusu kumcontrol wala hajali kila utakachokuwa unasema yeye atakifatisha na hata muda mwingine atataka ushauri kabla hajafanya jambo lolote atakuuliza kama afanye au lah
16. Ukimuita majina ya kimahaba japo si mpenzi wako hachukii na kuona ni sawa tu tena hufurahi sana kila akisoma msg yako au ukiwa naye karibu utmuona akitabasamu
17. Anafanya vitu vile unapenda hata kama alikuwa havupendi atashirikiana na wewe ili tu wewe ufurahi kama vile music movie na hata kwenda sehemu amabzo wewe hupendelea japo yeye havutiwi nazo akijua kuwa hiyo ni sehemu ya kuwa na wewe karibu zaidi
18. Hupenda kuwa mwenye mvuto kila mara anapojua kuwa anaenda kukutana na wewe hutumia muda mwingi kujiremba na kujitazama kwenye kioo mara kwa mara kama yupo sawa jabla hamjakutana

Chapisha Maoni

0 Maoni