MAKOSA WAYAFANYAYO WANAUME WAKIWA FARAGHA 1. KUSHINDWA KUMBUSU VYA KUTOSHA Amini usiamini wavulana wengi wanapokuwa faragha hawawabusu wapenzi wao hiyo ndiyo moja ya kosa kubwa kuliepuka mkiwa faragha. Wasichana hupenda kubusiwa huwafanya wajihisi furaha, hamu na wazuri. 2 Kuendelea zaidi hili kosa linajulikana sana kwa wengi na ni rahisi kulijibu ukiulizwa lakini usithubutu kuanza kutaka kumak...e love kama unajijua una matatizo ya kufika kileleni mapema hiyo itakufanya ujiridhishe mwenyewe na wewe kuona huna haja ya kuendelea tena . 3. KULAZIMISHA mwanaume hukosei kumlazimisha mpenzi wake wafanye mapenzi ikiwa mwenzake hajisikii hivyo kusababisha mwanamke kutojisikia kufanya hivyo na kuwa kama kitendo cha ubakaji wa kihisia japo atakubali kwa shingo upande ili akuridhishe. Wasichana hupenda kujifunza kujaribu kufanya mambo mengi katika kila mchezo wanayocheza na mwenzake lakini ukimlazimisha hatafanya kitu kama hicho 4 KUTOJUA SEHEMU ZAKE AMBAZO HUAMSHA ASHKI pale unapomtomasa mwanaume hapa na pale haisadii kumuamsha hisia zake inapaswa kujua sehemu ambazo mwanamke ukimshika umeshika sehemu sahihi na atalegea mwenyewe kama vile kitovu, maziwa, na chukua muda mrefu kuzijua sehemu ambazo humletea msisimko mpenzi wako. 5 KUMUANDAA hakikisha unamuandaa mpenzi wako kwa kumtomasa kumbusu na kucheza naye michezo tofauti ambayo itaamsha hisia zake wengi hukurupuka kuvua chupi na kutaka wafanye mapenzi hii itakufanya uchukue kazi kubwa kumfikisha kileleni 6 KUDHANI KUWA AMERIDHIKA wanaume wengi wanadhani kuchukua muda mrefu kwa kuingiza na kuchomoa ndio kumridhisha mschana. Hapana si hivyo utundu wako kitandani kunamsaidia msichana kufika kieleni mapema na kutotamani tena akiwa aneridhika. 7 KUKAA KIMYA NA USIYE NA HISIA wanawake hupenda wanaume ambao wana hisia kali wakati wnafanya mapenzi. Wanaume wengi hudhani kuwa kukaa kimya ni vyema zaidi kuliko kuongea ila nakuambia kama hutakuwa ukizungumza au kugugumia kwa hisia si rahisi kumridhisha mwenzi wako 8 UBINAFSI kujiridhisha mwenyewe na kumuacha mwenzio akiwa bado anakuhitaji. Hii inatokana na kukosa nguvu za kuendelea raundi inayofuata 9 KUMFANANISHA ULIYE NAYE NA WENGINE hili ni kosa la wanaume walio na wasichana wengine kumfanyia mambo ambayo anawafanyia wasichana wengine huyo aliye naye hiyo humfanya yule aliye naye kutofika pale anapopataka 10 MAWAZO YAKO wengi hufanya mapenzi kwa tamaa ila si sawa mapenzi ni hisia unapokua katika hili tendo jaribu kuweka hisia zako zote mahala hapo kisha umridhishe mwenzio ili mfike kwa pamoja na si wewe uwahi au yeye achelewe hatoridhika kabisa *usipomridhisha mwenzio una hatari ya kukimbiwa na kufuatwa wale wanaojua mambo hivyo unapoachwa si kwamba mwanamke ni malaya muda mwingine ni makosa yako mwenyewe kutokumridhisha mwanamke wako.
0 Maoni