NJIAPANDA; PICHA NILIZOMTUMIA MUME WANGU ZIMEVUJA, MUME WANGU KANIKIMBIA!

Image may contain: 1 person, standing and shoes


“Angel (sio jina lake halisi), pole mdogo wangu, wanaume hawa si watu wa kuwaamini… Pole…. Pole…” Bakumuka ilikua ni siku ya juimapili, nilikua kanisani na mume wangu, wakati tunatoka ndiyo niliwasha simu kwani mara nyingi wakati nikiwa kanisani nazima simu, sitaki usumbufu. Kwanza nilishtuka na kudhani labda kuna msiba, nilimgeukia mume wangu na kumuuliza kuna kitu gani mbona watu wananipa pole.
Mume wangu alisimama kidogo nakuangalia meseji zilizokua zinaingia kwenye simu yangu.
“Hakuna, wanakupa pole za nini? Mbona sijasikia kitu!” Mume wangu alijibu, alichukua simu yake na kuiwasha, naye kuna meseji nyingi zilikua zinaingia. Mara kuna rafiki yake mmoja alimpigia, waliongea kidogo kisha akamuuliza kama ameingia whatsapp.
“Hamna, kuna nini, mimi ndiyo natoka kanisani nawasha simu hapa.” Nilimsikia mume wangu akiongea, lakini ghafla alisopgea pembeni, sikujua waliongea nini huko lakini aliporudi alionekana kunyong’onyea, slikua akshikilia simu yake uso umemjaa mshangao.
Kabla hata sijamuuliza nini kimetokea simu yangu iliita, alikua ni Shemeji yangu, mume wa dada yangu, alinisalimia na kuniuliza kama niko wapi? Nilimuambia kuwa nipo kanisani na mume wangu, aliniuliza kama ameshajua.
“Amejua nini?” Nilimuuliza kwa mshangao, alijua kuwa kumbe hata mimi nilikua sijui chochote.
“Tafuta namna uondoke kabisa, mkwepe mume wako, kimbia anaweza kukuua, nisubiri sehemu, rudi hata kanisani, ingia hata ofisi ya mchungaji lakini susikae karibu na mume wako,a takuua, nakuja kukuchukua!” Shemu aliniambia, nilikua nashangaa kwani mume wangu naye alinifuata kwa hasira, lakini kabla hajafanya chochote mtoto wetu mkubwa ambaye alikua dnani tunamsubiri alitoka.
Mume wangu alimchukua mmtoto mdogo amabye nilikua nimempakata, akamchukua na mtoto mkubwa akawaingiza kwenye gari, kisha akarudi na kuniambia maneno ambayo kwa waktai huo sikuyelewa kabisa.
“Umeniabisha sana, sitaki urudi kwangu! Unabahari tupo kanisnai!” Mume wangu aliniambia, baada ya hapo aliingia kwneye gari na kuniacha nikiwa nimesimama sijui nini chakufanya. Nilijaribu kumuita na kumuambia aniambie kitu lakini hakusimama, aliondoka bila kujali nilikua katika hali gani.
Nilishtuka na kuanza kuingia kwenye simu yangu, huwezi amini Kaka nilikuta kwnee magroup yote ambyo mimi nipo kuna picha zangu na video za uchi. Kulikua na video nyingi sana zakwangu za uchi, uchi wa mnayam, nikikata viuono, nikichezea uke wangu, nikijiingiza vidole na ujinga ujinga mwingi sana. Zilikua ni video nyingi sana zinatumwa, watu wakitukana, wakisema wananijua, wakisema mambo kibao.
Niligeuka pembeni na kuona waumini wengine ambao nao walikua wanatoka baadhi wameshika simu zao wananishangaa, nilitamani kukimbia lakini kwa bahati shemeji yangu alikuja, akaniingiza kwneye gari ambapo alikua na dad yangu tukaondoka. Njia nzima ilikua kimya, nilikua nalia tu, sitoi sauri lakini machozi yanatoka, nilikua nalia sana, nawaza kama Mama yangu kaziona, vipi Baba yangu, vipi wakwe zangu, nilikua nalia sana.
Shemu hakuongea chochote, hakuenda na mimi nyumbani, alinipeleka mpaka kwenye nyumba moja ya kulala wageni kisha akaniacha na daa yangu. Aliondoka na kutuacha akiniambia kuwa nisiwe na wasiwasi ila nahitaji kuwa mbali na macho ya watu kwa muda. Niliia sana dada yangu akinibembeleza, nililia sana, mwisho dada aliniuliza ni kitu gani kilikua kimetokea, kama video ni zangu au zimetengenezwa.
“Ni zangu dada…” Nilimjibu kwa shida huku nikilia.
“Ulikua unamtumia nani, mbona wewe na mume wako mko vizuri, ulikua na matatizo na shemeji, bona hujawhai kuniambia, kwanini ulikua uanchepuka?” Aliniulzia maswali mengi ambayo yalinipa hasira, aliniuliza maswali ambayo yalinifanya nijione Malaya, kwanini dada yangu anawaza kuwa nilikua nachepuka, kwanini anawaza kuwa nilikua na mwanaume mwingine.
“Sikua na chepuka, nilikua namtumia Baba Kelvin (sio jina lake halisi) nilikua namtumia mume wangu.”
Mume wangu mimi ni mtu wa kusafiri safari, ni mfanyakazi wa serikali hivyo muda mwingi anasafiri hasa wkenda Dodoma kwenye bajeti., mara nyingi akiwa safarini tunaongea video call na ananiambia nimtumie video za uchi, huwa anapenda sana namsaidia mpakaa nakojoa, ilikua ni njia ya mimi kumsaidia aili asichepuke na kweli kwa kipindi cha maiak 12 na mume wangu nilikua sijawahi kuhisi hata kama anachepuka.
Nilimuambia kuwa ilikua ni kawaida yetukutumiana, ingawa mimi sikua napenda anitumie lakini kuna wakati ananitumia tunafurahia. Aliniuliza sana lakini jibu lilikua ni mume wangu hivyo kama ni kuzivujisha basi ni mume wangu.
“Lakini mume wangu alikua anafuta video zote, sasa imekuaje mpaka zikabaki kwenye simu yake wakati mimi naiangalia na anafura?” yalikua ni maswali mengi, sikutaka kuamini kuwa mume wangu anaweza kunidhalilisha namna ile. Dada yangu alimpigia simu mume wangu lakini hakutaka kupokea.
Siku ile ilissha kesho yake jumatatu sikuweza kwena hata kazini, nilikua kwenye mawazo sana, nilimtafuta mume wangu hakupokea simu yangu. nilikua naumia sana mpaka nikaamua kumfuata ofisini kwake, nilikua kama mtu aliyechanganyikiwa, wakati wote dada alikua na mimi. Nilifika ofisini kwao na mume wangu abada ya kuniona ili kukwepaaibu alikuja mpaka wkenye gari yetu, akaniambia kuwa kwa niliyomfanyia hawezi kunisamehe.
Mimi pia nilianza kumshutumu na kumuambia kuw ayeye ndiyo kanishaalilisha, tukaanza kulaumiana huku yeye akidhani kuwa mimi ndiyo nimemtumia mchepuko wangu video za uchi hivyo akavujisha kwani yeye ni mume wangu hawezi kuvujisha ana ananipenda. Tulibishanaa sana nikamuambia aangalie hizo video, zote nilimtumia yeye na kuna baadhi nilikua naongea na muulizia mambo ya Dodoma, kuhusu kikao.
Video moja ambayo iliniokoa nilikua namuambia mume wangu “Nakutumia hii makusudi tu kwakua ni siku yako ya kuzaliwa, ukija nataka unifanye*** vizuri, nakutumia ujichangamshe,a subuhi uje kwakua uliniahidi mambo ya Zanzibar, umeona nimejiamsha asubuhi…” Mume wangu aliisikia na alikuambuka kuwa nilimtumia hiyo video siku yake ya kuzaliwa. Nilimuona anakua mdogo, akaziangalia zote kwa makini na kukumbuka zote nilikua nimetumia yeye na mimi nikituma nafuta hata kama ni kuchepuka nisingemtumia hizo hizo.
Nilimgeuzia kibao na kumuambia kuwa yeye ndiyo katuma, kaammua kunidhalilisha.
“Ili nipate nini? Kwa faida gani? Wewe ni Mama wa watoto wangu hivi unafikiri naweza kukudhalilisha kiasi hicho hata kama umenikosea namna gani?” aliongea huku analia, nilimuambia kuwa inawezekana labda anachepuka ni mchepuko wake umeamua kunidhalilisha lakinia liapa mpaka kulia, akashika na Bibilia hakua anajua kuwa ni nani alikua anafanya hivyo. Nilimuuliza kama simu yake alishawahi kupeleka hata kwa fundi lakini jibu lilikua ni hapana.
Nilirudi nyumbani na mume wangu, kwa aibu nililazimika kuchukua likizo ili kupumzika nyumbani, sikutaka kuonana na mtu yeyote kwani watu wengi walishaniona kwenye mitandao. Mume wangu alianza kufuattilia ili kujua kuwa ni nani alikua kahusiaka, baada ya kufuatilia namba ambayo ilianza kutuma zile video ilikuja kugundulika kuwa ni Dada mmoja ofisini kwa mume wangu. Alikua ni rafiki mkubwa wa mume wangu, alikua kaolewa na mume wangu alikua akimsaidia mambo mengi.
Baada ya kubanwa sana alisema kuwa anampenda sana mume wangu hivyo aliamua kumfuatilia, alihack simu yake na kuwa anona kila kitu pia kuna picha nyingi ambazo mume wangu alikua anafura lakini yeye alikua anazichukulia kwenye Google Drive kwani mume wangu alikua anafuta kwenye simu tu. Alibanwa na Polisi akisema aliamua kuvujisha picha zangu ili mume wangu aniache nayye kuingia naye kwenye mahusiano.
Tulifuatilia ile kesi mwisho tukaamua kuachana nayo, lakini tangu kutokea kwa hiyo ishu basi nimekua mpweke, mtu wa mawazo, nikawa kisirani kila saa namlaumu mume wangu kwa kuruhusu nidhalilike. Lakini ndugu wa mume walianza kunichukia, kila mtu alianza kunitenga. Mwanzoni mume wangu alikua upande wangu, akinifariji na kunipa moyo lakini taratibu alibadilika.
Alianza kuona aibu kutoka na mimi, hataki niongozane naye na akiwa na marafiki zake hapendi kabisa niwe karibu. Ghafla alianza kubadilika, akawa ni mtu wa pombe, mume wangu alikua hanywi pombe kabisa lakini sasa hivi kila siku yuko baa na ameanza tabia za kuwa na wanawake mpaka wananipigia simu. Mwazi huu terehe 6 mume wangu aliniambia kuwa hawezi tena kuishi na mimi kwani hafurahii tena ndoa. Alichukua vitu vyake na kuondoka akiniachia nyumba, kusema kweli sina hata nguvu ya kumuambia rudi, nimedhalilika.
Natamani kutafuta hata uhamisho ili niondoke hapa ambapo kila mtu ameniona lakini kampuni ninayofanya kazi haina tawi sehemu nyingine. Kila nikipita najiona kama niko uchi, nimekua mtu wa mawazo kuna wakati natamani hata kufa ila nikiwaza wanangu naona kuwa wataumia zaidi bila mimi. Natamani kuacha kazi niondoke niende mbali lakini nashindwa kwani mume wangu tangu aanze kunywa pombe hata kuhudumia familia imekua shida mpaka sijui nifanye nini nipo njia panda kwakweli!
MWISHO

Chapisha Maoni

0 Maoni