Mwanamke anapokusamehe na kuvumilia pale unapomsaliti sio kwamba haumii, nawala usidhani kwamba amezoea kwakua na wewe umezoea kumsaliti kila siku.
Maumivu aliyoyapata siku ya kwanza wakati unamsaliti kwa mara ya kwanza ndiyo yaleyale ambayo atayapata siku ukimsaliti kwa mara ya miamoja.
Maumivu ya usaliti ni sawa na maumivu ya kisu, ukichomwa mara moja utapata maumivu mara moja na ukichomwa mara mia utapata maumivu mara mia.
Wanaume wengi washazoea kusailiti mpaka wanaona kama ni kitu cha kawaida kwakua tu wake zao huvumilia, labda nikuambie kitu, anavumilia kwakua anakupenda na hana namna ya kutoka.
Siku akichoka kuvumilia na akipata namna ya kutoka, hutaishia tu kuisoma namba bali utaiandika namba hiyo kwa damu yako na utahitaji miwani ya chma kuisoma.
Kama bado hujasoma kitabu cha “Ndoa yangu Furaha Yangu bado hujachelewa, hakuna haja ya kuendelea kuishi katika maumivu uamuzi ni wako chagua furaha nunua kitabu hiki kwa elfu kumi tu.”

0 Maoni