Mazoezi ya kukaza misuli ya Uke.



Mazoezi ya kukaza misuli ya Uke.
Kama ilivyokuwa kwa baadhi ya wanawake kuwasema na kuwacheka wanaume wenye “vibamia” hali kadhalika na wao huwa wanacheka na kusema wanawake wenye “K” kubwa/pana wakidai kuwa hawafurahii kwa vile haibani na kupoteza ule msuguano ambao ndio chanzo cha raha na hatimae utamu.
Natambua kuwa ni jambo linalotia aibu kama ilivyokua kwenye suala zima la ngono lakini hili ni tatizo ambalo linasumbua wanawake wengi na sio tu Bongo bali Duniani kwa ujumla. Hili tatizo mara nyingi hutokea au kujitokeza mara baada ya kuzaa watoto 2 na kuendele.
Hakuna sababu ya wewe kuona aibu ikiwa unatatizo hili hasa pale unapokwenda kumuona daktari wako kwani wanatambua kabisa nini huwa kinatokea baada ya kuzaa.
Ukiwa mtu wa kufanya mazoezi au ulikuwa mtu kwa kufanya mazoezi kabla hujapata mtoto huwa rahisi kurudisha u-tight wa misuli ya uke wako kwa kufanya mazoezi ya kukaza misuli ya tumbo pamoja na yale maalimu kabisa yanayoitwa Kegel.
Zoezi hili limepewa jina la Kegel baada ya Dr.Arnold Kegel ambae ni “Obstetrician” alietambulisha zoezi hili kama sehemu ya kuwasaidia akina mama wajawazito kuboresha na kukaza misuli ya uke ambao huwasababishia kuvunjwa kwa mkono pale wanapocheka, kohoa, piga chafya n.k. mara baada ya kujifungua.
Baada ya miaka michache imegundulika kuwa zoezi hilo lijulikanalo kama Kegel husaidia kutudisha “mnato” wa uke pia na wengi hufanikiwa kurudisha ule “u-tight” wa uke hali inayowafanya wajiamini wanapofanya mapenzi na vilevile kuwafanya wapenzi wao na wao wenyewe kufurahia kama ilivyokuwa awali (kabla ya kuzaa).
Misuli inayofanyiwa zoezi hili ni ile iliyozunguuka uke, njia ya mkojo na sehemu ya aja kubwa(mkundu).
Jinsi ya kufanya zoezi hili…..
Endelea.

Chapisha Maoni

0 Maoni