Hembu leo tuanze zoezi la wewe kuwa na furaha, hata kama hauko kwenye mahusiano au upo kwenye mahusiano yanye mateso. Naomba leo ufanye mambo mawili,ndiyo furaha ni maamuzi ya akili yako hivyo hembu leo sama nataka kuwa na furaha.
Jambo la kwanza hembu fanya kitu amcbho unatamani mtu akuufanyie, unakipenda na ukikifanya unakuw ana furaha. kkiitu cha kawiad tu ambahco kipo ndnai ya uwezo wako lakini kifanye.
Inaweza kuwa ni chakukla, unnapenda kula chakula flani, hembu nenda kale, lakini unawez ahata kujipiklia.badala ya kumuuliza mume wako unakula nini jiulize umesikia kula nini na jipikie.
Unawez ahata kwenda hatua moja ziadi, ukampikia chakula cha kawaid alakini wewe ukapika ka chakula kako kadogo kwaajili yako ukala wewe tu hata mtoto usimpe. Ndiyo hembu leo amua kuw ambinafsi na jifikirie wewe tu.
Lakini pia leo amua kufanya jambo la pili, puuzia kitu amcbho kinakuudh9i sana. Yaani kuna kityu ukifanyiw akinakukera, leo hembu amua kufanya kama hukuionoi. Labd ani uchafu, mtu akichafua nyumba, mtu akikutukana, mtu akikusengenye.
Unaishi na wakwe zako, unaishi na ndugu ambao wana kelele, hembu leo amua na sema kitu flani kinanikera sana lakini wala sijali tena. Nimeamua kuwa niwe na furaha na hata kikifanywa sikasiriki, amua hivyo na hata ukiona mtu akikifanya basi pita na tabasmau.
Fanya haya mambo mawili na kesho basi nipe mrejesho ni kitu gani kilitokea baada ya kufanya hivi. Nitapost baadhi ya watu ambao wlaifanikiwa. Furaha ni maamuzi, haina uhusiano na yale watu wanayotufanyia bali namna ambavypo tunapokea yale tunayofanyiwa.
Unawez akujifundisha kuw ana furaha, hembu leo tutumie njia hii. nakumbushia, fanya kitu kimoja ambacho kinakupa furaha na puuzia kitu kimoja ambacho huw kinakukera,. Hata kama ni mchepuko wake unapiga simu kila siku, leo amua usikasirike.
0 Maoni