Anaanza kwa kutukana maumbile yako

Anaanza kwa kutukana maumbile yako, lakini anahamia kwenye akili yako, mwanaume amabye hajiamini hasa kutokana na maumbile yake pamoja na uwezo wake kitandani anaamini kuwa ipo siku ataachika. Hakuna kitu ambacho mwanaume mwenye tatizo la nguvu za kiume anakiogopa kama kuachwa na mke wake au mpenzi wake wa mud amrefu ambaye alishamtambulisha kwa ndugu na marafiki. Anaogopa kwakua anahisi mwanamke huyo atamtangaza na kumtia aibu.
Sasa ili kulizuia hili wanaume wa namna hii hucheza na tyabia ya wanawake zao. Hufanya hivyo kwa kuwanyanyasa na kuwafanya wanawake kujiona kama takataka na kuona kuwa labda wao kuwa nao ni kama msaada flani. Mara nyingi unakuta mwanaume hakuridhishi kitandani goli moja mabalo hata halivuki daikia tano ila anafanya mambo yafuatayo;
(1) Anakutukana na kukudhalilisha; Anahakikisha kuwa hujiamini kwa kukutukana, anakuambia wewe ni mchafu, unanuka uchi ndiyo maana hana hamu na wewe, una shape mbaya ndiyo maana humvutii na akifanya mapenzi ni lazima kuwaza mwanamke mwingine, hii yote ni ili ujione kuwa tatizo ni wewe na si yeye.
(2) Anakua na wanawake wengi na anahakikisha unajua; Anataka uamini kuwa akiwa na wanawake wengine anawaridhisha, atatafuta Malaya, wanawake wenye hamu sana na ndoa, wanawake waliopo kwenye ndoa za matyatiozo, huko atakua romantic, atahonga sana na watakua wakikupigia sim,u kukutukana na kutuma picha huku wakimsifia, ukiona hivyo lazima hutajiamini utawaza kuwa wewe una tatizo ndiyo maana wenzako wanaridhika kumbe huko nako hamna kitu.
(3) Anakushutumu kuwa wewe ni Malaya; Kila wakati anakuambia ni Malaya, una wanaume wengi ndiyo maana hurihiki nayeye, hapo anajaribu kukufanya uamini kuwa mwanamke kutaka zaidi ya goli moja ni umalaya pia hafurahii mapenzi na wewe kwakua anamini unamala una wanaume wengi.
Ndiyo hii ni aina ya unyanyasaji ambayo wanaume wengi wenye matatizo ya nguvu za kiume na maumbile madogo wanaitumia kuwanyanyasa wanawake bila kujua ndiyo wanakua wanaharibu. Kama mwanamke uko na mwanaume wa namna hii basi jua wewe si tatizo ni yeye

Chapisha Maoni

0 Maoni