WACHUMBA WA FACEBOOK na WHATSAPP



Amekutext InboxπŸ“₯
Ukamuuliza we nani?πŸ™‚
Akaujibu jinaπŸ‘ΆπŸ½
Ukamuuliza umepata wapi namba yangu?πŸ˜’
Akakujibu, nimepata kwa group😊
Ukachukulia poa tu😏
Amekuomba urafiki facebookπŸ‘€
Umeangalia picha zakeπŸ‘±πŸ½
Anaendesha Range🚘
Anaonekana ni jamaa mwenye uwezoπŸ€‘
Umemkubalia urafikiπŸ‘₯
Amekutumia text inboxπŸ“©
UmemjibuπŸ“€
Amekuomba outπŸ‘«
Mkapanga kuonanaπŸ˜„
Ukajikwatua mwenyeweπŸ˜‹
Ukajipulizia na marashi ya kunukia vyema🌹
Ukaweka na make-up na weave mpya.πŸ’„πŸ‘ 
Akakuchukua kwa ajili ya lunchπŸ›πŸ¨ kwa hotel🏩
Akakuagizia na soft drinks🍹🍸
Mkawa na muda mzuri pamojaπŸ˜„πŸ˜…
Akakushika mkonoπŸ‘ŒπŸΎ
Akakufanya uwe unachekaπŸ˜† muda wote kwa vituko vyake
Ukampenda😍
Ikawa kama umemjua kwa miaka😊
Akakuchukua kwenda kwake🏑
Akaweka mazingira ya wewe kujisikia upo kwako kwa kukuruhusu ulale kitandani kwakeπŸ›Œ
Akakubusu kimahaba😘
Ukapenda jinsi alivyo romantic, nguvu na ujasiriπŸ€“
Ukajisikia secure ukiwa naeπŸ˜€
Ukajua kuwa unachoenda kufanya sio sahihi lakini ukajisikia poa tuπŸ™‚
Ukamwambia atumie kinga, akakuambia it's too late.😎
Ukamkubalia na hukutaka kumsumbua.😟
Akakuambia anakupenda na hukusita kumwambia unampenda pia.πŸ˜‰πŸ˜˜
Baada ya kumaliza akafungua friji na kukunywesha maji ya kunywa. Ukajihisi hapa mume nimepataπŸ€—
Ukajihisi ni mwanamke specialπŸ’πŸ½
Atakuwa ndio yeye uliyekuwa ukimuota siku zote.πŸ’ƒπŸ½
Ukavua nguoπŸ‘™
MkafanyaπŸ’
Ukavaa nguo.πŸ‘—
Akakuchukua mpaka sehemu zinakopaki taxiπŸš—
Akakubusu katika shavu.πŸ˜˜πŸ˜†
Nimekuwa na muda mzuri na wewe akakueleza.πŸ’πŸ½πŸ’πŸ½‍♂
Akakupa Tsh 100,000πŸ’΅πŸ’΄πŸ’·πŸ’·.
Ukatabasamu😊 na kumwambia nitakuona kesho.
Akabaki kimya.🀐 Taxi uliyopanda ikaondoka.πŸš–
Ndani ya taxi hukuacha kutabasamu😊
Ukafika nyumbani kwenu na kumwandikia text watsapp kwamba umefika salama.😁
Yupo online lakini hakujibu text yakoπŸ€”
Ukaamua kumtext tena, hakujibu!πŸ€”
Dakika chache baadae humuoni watsapp unaona kivuli tu. AMEKUBLOCK!!🌚
Siku, wiki, miezi ikapita ukaanza kujisikia homa homaπŸ˜ͺ, mchovu😣, uzito umepungua na utando mdomoni😀
Ukaenda kituo cha afya🏘
UkapimaπŸŒ‘πŸ’‰
Nusu saa baadae daktari anaingia.πŸ‘³πŸ½
Pole sana dada yangu daktari anakuambia.😟
Una maambukizi ya virusi vya UKIMWI na ni mjamzito vile vileπŸ˜”.
Mimba, HIV+????😳
HOW??πŸ‘€
HauelewiπŸ˜–
Inakuumiza sana😩, hauamini.😨
Unaenda nyumbani.🏠
Ukiwa na hofu kubwa.😰
Unaona kifo hichi hapaπŸ‘
Unatazama anganiπŸ™„, na unauona mwisho wako huu hapa. Unajuta kumuamini mtu kirahisi hivyo.😟
Unarudi nyumbani, unahisi baridi unalala kitandani unajifunika shuka, kwa mbali unaanza kumuona malaika mtoa roho, unasema mbio za sakafuni zimeishia ukingoni...
*WASICHANA WANGU, MSIWE KAMA HUYU, ISHI VIZURI, ACHA KUTAMANI MATERIAL THINGS. KUWA MWANAMKE AMBAE UNGEPENDA BINTI YAKO AJE KUWA HIVYO.*
ISHI MAISHA YANAYOMPENDEZA MWENYEZI MUNGU PEKEE NA SIO BINADAMU.
SIJAKATAZA MSIAMINI WACHUMBA WA FACEBOOK na WHATSAPP ila chunga usipate BORA MCHUMBA

Chapisha Maoni

0 Maoni