
Weekend kama hii wanandoa mnaacha mtulie nyumban mfurahie zawadi ya Ndoa yenu ambayo ni KUDINYANA wake kwa waume kutwa mko kiguu na njia
Mvua kama hizi za msimu huu ni za kutulia ndani watoto pelekeni kwa Ndugu jamaa na marafiki nyie bakini nyumbani mkisuguana bana
Mtoto wakike mpikie mumeo vyakula anavopenda Limbwata moja wapo la kumshika Mumeo ni Tumbo lake pika vitu vieleweke sio unajaza mimajiiiiii
Wengine ikishafika weekend utaskia Baba Hamida nataka nikutoe out leo mume wangu kuna kijiwe kipyaaa wanamisosi konkiiii kumbe uvivu wako tu wa kupika
Tulieni na waume zenu wafanyien usafi wa miili yao mnyoe nywele zote mpk za puani hahaa
Mfanyie singo mumeo ngozi ipate nuru sio mwanaume ananuka jua kama mbuzi wa htma
Oooh nifanye yote hayo bado atachepuka wewe fanyaaaaa ndo walivoumbwa hao
Watunzeni waume zenu hata wakienda kwa Hamida wakageuzwa kambare shauri zao
Vua lote hili mtoto wakike vikoba mwenyewe kwny chama mwenyewe, sijui baby shower umo ooh wanaenda kusutana upo yaan jumamosi na jumapili hukaliki ka mshika funguo za store msibani
Badilikeni banaaaaa
0 Maoni