
Ni bora akose mwanamke ndani amani itatawala kuliko kukosa kwa mwanaume,,Wanaume mpoooo,,!
Asili ya mwanamke kupokea kwa mwanaume sio kutoa.
Mwanamke kwa asili ni mjivuni kwa mwanaume,wakati mwingine hata kwenye faragha,kwenye kuhondomola wanawake wengi mpaka wadengue,wasishauri saana,wengine wamebatizwa jina ''Nyangusage sambi sako Mwenyewe'' kwa nini tendo la woote ila analeta vurugu kisa tu anaofia dhambi,umemlazimisha.
Wanawake wakifanikiwa ndani kuwazidi waume zao mara nyingi matatizo yanaanza.
Sio woote,ila asilimia kubwa ni matatizo,ni jeuri,wajivuni na wabinafsi.
Wakati mwingine anaona kipato cha mume hakitoshelezi mahitaji ya ndani,Bado pesa zake ni siri yake nini anafanyia,ni yeye na Mungu wake.
Mbaya zaidi hata heshima kwa mume wake inashuka,kisa tu amefanikiwa kipato kikubwa kumzidi mume,ana kazi nzuri analipwa vizuri.
Narudia tena,sio woote wapo wanawake waume zao ni kama wazazi wao ni kama baba yake mzazi,na ukweli mume wako ni baba yako,hutaki wewe huna adabu.
Shiida ni ubinafsi,wakati mwingine yuko tayari kukukopesha pesa kwa matumizi ya familia,,kisingizio Pesa ya Mama Ashura ya mchezo,,jamani muogopeni Mungu.
KISA.
Kilitokea kisa kimoja,Mume amemsomesha mke wake amejiendeleza kufikia elimu ya juu.
Mke huku na kule mambo yametiki,alipata kazi nzuri,mshahara mnono,na uboss juu kazini.
Matatizo yakaanza,Siku anarudi usiku amelewa chakali,siku asirudi na vitimbi vya kila namna.
Busara ya Mume ni kumlilia Baba mchungaji,,''Mchungaji mke wangu amekuwa kahaba sasa kisa ni jeuri ya kazi,analipwa vizuri''
Kumuacha hawezi nini kifanyike,,walifunga kwa Maombi,kazi ni mpango wa Mungu kwa maendeleo,ila kama kazi inakuja kuvuruga ndoa,ukahaba unazaliwa kisa kazi,tumuombe Mungu kuiondoa sio mpango wake.
Walifunga kwa Maombi,huko nyuma vikao vya kumuonya Mke vilifanywa hakuna mafanikio.
Mungu si Athman,akufukuzwa kazi ila Cheo na mshahara ulishuka,akawa mpole,kumrudia Mume kuomba yaishe.
Leo hata ni mume una kazi nzuri inageuka balaa ndani ya nyumba hakuna Amani hiyo sio kazi yenye matunda kwa familia,kemea ikome,badilika.
HITIMISHO.
Narudia kusema,sio wanawake woote,na niwape heshima wa mama wapamabanaji
0 Maoni