
Katika mwaka 1980, wanasayansi wawili wa mambo ya tendo la ndoa waliongea katika SHIRIKISHO LA UCHUNGUZI WA KISAYANSI WA TENDO LA NDOA (society for the scientific study of sex SSSS) huko Dallas USA na kuwaambia wanasayansi wenzao kitu ambacho walipata shida kukiamini. Dr Beverly Whipple na John Perry waliwambia wenzao kuwa kuna sehemu ndani ya uke ambayo inapata hisia kubwa sana ikibonyezwa bonyezwa sehemu hiyo ipo sentimita 5 kutoka mlango wa uke na iko katika ukuta wa juu wa uke, eneo hili linaitwa G. SPOT na liligunduliwa na mwanasayansi aitwaye Dr. Grafenberg. Sehemu hii ikibonyezwa na kuchezewa sawasawa mwanamke anaweza AKAPIZ mara mbili au zaidi kwa wakati mmoja. Hii ni njia rahisi ya kumfikisha mwanamke kileleni iwapo umechoka. Mwanaume aingize kidole au vidole viwili kwenye uke na kubonyeza na kusugua sehemu ya juu ya uke sentimita 5, sehemu hii imekaa kama sponji na huwa ngumu kwa kadiri inavyobonyezwa. Mwanamke anaweza kujisikia kama anataka kukojoa kabisa na hawezi kukojoa, ila raha atakayopata ni kubwa sana.
Bonyeza kwa miondoko kama unamfanyia mtu ishara ya njoo hapa kwa mkono wako.
NAMBA YAKO YA NIDA NI RAHISI ZAIDI KWENYE APP HII BOFYA HAPA KUIPAKUA/DOWNLOAD
NAMBA YAKO YA NIDA NI RAHISI ZAIDI KWENYE APP HII BOFYA HAPA KUIPAKUA/DOWNLOAD
0 Maoni