
Tahadhari kwenu juu ya ma x wenu
.
I know kwamba mnapoachana hua kunakipindi wale ma x wenu hua wanataka kurudi na hua wanarudi kwa kasi ya ajabu mapenzi moto moto na ahadi za either kuacha au kubadilika haswa kwenye makosa waliyokua wanayafanya na kwa sababu inakua umeshapita muda kidogo unakuta umeshasahau jinsi ulivyoumia na ilivyokua ngumu kwako kuzoea na hapo mnaanza kukumbusha moment zile za raha tu mlizozifanyanga na yeye.. Na mlivyokua mnabidua na kufokonyoana(dudubayasay)
.. Lakini nataka nikwambie kitu my dia kwanza ulewe siyo rahisi mtu kuuona ubora wako leo wakati jana hakuuona na alionyesha zarau yake ya wazi kwako kwamba haukua wa maana tena kwake sasa leo kuona wewe ni mhimu hiyo sahau my dia.. Maana itakua aibu ya moyoni mwake kwamba kitu alichokua anakibeza na kukiona hakifai ndio kiwe sehemu ya moyo wake hiki kitu hua hakipo my dia
.. Ila kwa nini anarudi na kuomba uwe naye.. Nikwamba mapenzi yana upepo kama iliyo biashara tu kuna wakati hawa wanaume upepo wa mapenzi huaga mgumu sana yaani unakuta kila anapotongoza anakataliwa au anadharaulila hakubaliwi na yeye unakuta anahitaji mapenzi hapo ndipo ma x wao wa kike hua wana soko kwao anaanza kuwatafuta ili apoze tu hamu yake.. Yaani kipindi hiki mwanaume yupo lazi kumtafuta hata x wake wa la saba ili tu afanye mapenzi the issue ni kusex na kama umewashawahi washuudia hawa mabwama wakishafika kileleni tu unaona kabisa hana jipya ahadi zake zote zinaisha.. So usidhani karudi hivyo kajifunza..
Cha pili hawa ma bwana wanakasumba ya kumshusha thamani mwanamke.. Unapoachana naye ukalia ukazoea maisha yakaendelea ukawa una damsh unapendeza na huna stress kabisa hua wanahisi sasa unawadharau na unajisikia upo juu kuliko wao na kuhisi sasa unajitambua na ulikuaga naye kisa tu ulikua hujitambui sasa coz ni wanaume wanatakaga kuonyesha kua wao ni wanaume wanataka kukujaribu tu kua kweli huna muda naye kweli huwezi kumvulia tena chupi kweli ulivyo sasa hawezi kukuigizia tena dudu lake anaanza kuja kwa sifa na mapenzi moto moto ili tu ukikubali tayari atakua ameshakutoa thamani yako uliyokua umeijenga kwa wakati huo kwa hiyo alikuja kukuomba mrudiane naye ili tu akuvunjie rekodi.
0 Maoni