Najua utashangaa lakini ukweli nikua kuna mabinti wengi, tena wengi sana ambao wanaishi na wanaume, ambao si waume zao kisheria lakini vichwani mwao wao wanaamini kua ni waume zao ila kiuhalisia nikua walishaachana na hao watu siku ya kwanza tu ya kuanza kuishi nao pamoja. Kama unaishi na mwanaume, hajakuoa lakini hatoi matumizi hata Shilingi kumi, ila wakati wa kula anakuja kula na hata kulalamika kua chakula si kizuri.
Unaishi na mwanaume hajawahi kukununulia hata underwear lakini anakusifia umependeza au hata kama ni mshenzi hakusifii lakini anazivua hizo nguo au una wigi lako, umetengeneza nywele zako vizuri anazivuruga lakini hata siku moja hajawahi kukupa pesa ya saluni. Analeta nguo zake, unamfulia lakini hata siku moja hajawahi kutoe pesa ya sabuni, unalipa kodi ya nyumba na anakuja na kulala lakini hata kuchangia umeme tu hachangii.
Kama uko na mwanaume wa namna hii basi jua kuwa ulishaachwa muda mrefu lakini wewe ni king’ng’anizi, kwanza nilazima, narudia ni lazima huyo mwanaume ana mwanamke mwingine ambaye anakula pesa zake. Najua wewe unalalamika kua jamaa ni mbahili lakini si kweli, jamaa si mbahili bali kapata mteremko, ana mpenzi wake amabye anamhudumia, kuna sehemu analipia kodi na anatoa chakula.
Mwanaume kama huyu anaweza hata kukuoa, si kwasababu anakupenda hapana nikwakua anapata huduma za bure. Kama huamini hembu sitisha huduma zote halafu uone kama bado ataendelea kuwa na wewe? kwa maana hiyo wewe umeshaachwa lakini ulivyo hujielewi bado utasoma hapa lakini utajipa moyo kwakua ukitaka kumuacha ataomba msamaha kua atabadilika na hatabadilika! Ila kwakua anarudi kwako basi unajiona wewe ni special ila ukweli nikua wewe uko single!
NIMEMALIZA MIE

0 Maoni