Best
Unaposteza muda mwingi sana kuumizwa na mambo yaliyokurarua na kukupotea muda wa kufanya mambo ya faida na ya maana maishani mwako
Lakini umejaribu kutoka kwenye hali hiyo mpaka sasa bado yanakulia muda
Sijui kwa nini hutaki kuamini kilichotokea..
Hivi unajua hakuna hasara kubwa mtu anayoipata kama ya kupoteza muda
Mpoteze mpenzi au mme lakini ukipoteza muda hiyo ni hasara isiyo na marejesho sekunde tu inakupeleka uzeeni uzeeni ambako hutakua na uzuri kama ulio nao sasa hutakua na nguvu kama sasa hutakua wa kupendwa na kuhitajika kama mke kama ilivyo sasa..
Lakini wewe maumivu ya kuachwa kutelekezewa watoto
Kudangwa ndoa kukataliwa na kusalitiwa bado yanazidi kukuliza wakati tiari imeshatokea na haina correction (masahihisho)
Kama kuaibika tiari umeaibika kama kudanganywa tiari imeshakua kama kusalitiwa tiari mhogo wako watu wameshautumia sana tu kama kutelekezewa watoto ni tiari ndio kama hivyo unawalea mwenyewe sasa eti hali hiyo pamoja na kukuumiza kwa watika inatoke eti mpaka sasa bado umeganda kwenye hali hiyo bado moyo unauma bado unalia peke yako bado huamini..
Best acha kuzidi kupoteza muda wa kujijenge na kujisimamia upya tumia muda wa sasa kujifunza wapi ulipokosea na kuapa kutorudia tena kudanganyika na kaa sasa panga utakavyo ishi katika hali iliyo sasa.. Mwenzako aliyefanya haya hana wazo na wewe kabisa yaani hata kama anakupigia au anakuomba msamaha usidhani ni kweli anaumia no
Ila anajua na alijua kua hayo aliyokufanyia yatakuumiza na unaumia sasa kuendelea kumsikiliza ni kuzidi kufanywa mpumbavu na mjinga maana hakuna usaliti wa mbahati mbaya maana siyo kudondosha chupa ya chai hiyo ni process kabisa mtu anatogoza wanakubaliana wanavuagana nguo wanasex bila condom so et sasa unaombwa msamaha ni bahati mbaya hiyo?
Yote yanayokuumiza my dia si bahati mbaya ni makusudi kabisa
.. Sasa hebu waza kuzitimiza ndoto zako zile za shule ya msingi ambazo uliwaza bila kuona kama utakua na mpenzi au nani.. Maana najua ulitamani kua doctor kua mfanyabiara kua rubani kua nurse hebu waza kuzipanua hizi ndoto ambazo hazitegemei uwepo wa fulani
Kubali yaliyotokea acha kuyapa muda wa kukupotezea mara ya pili..
Ok my umenielewa?

0 Maoni