Mbinu ya Mwanamke kumtongoza mwanaume yeyote.

Image result for mwanamke kutongoza

 Ukimwona mwanaume unayempenda wa ndoto yako msongele karibu na muulize " Samahani kaka hivi wewe ni mwenyeji hapa" ♦Anaweza kujibu ndio au hapana kisha jifanye kama jicho limeingiliwa na kibanzi " oh my gosh kuna kitu kimeniingilia jichoni nipulize plz " ♦Kwa machozi yenu huwa yapo karibu vuta hisia za machozi kwani mwanaume akiona unalia ume wake utasisimuka badala ya kukuonea huruma " ♦Jifanye unalia na kutoa machozi " baada ya dakika kama 3/5 mwambie " Wewe una huruma asante kametoka " ♦Chukua namba yangu tutawasiliana " Lazima usiku hutapita atakutafuta 100% kikutumia message hiyo usiijibu mapema suburi hadi siku 4/7 au masaa 48 ndio umjibu na jifanye unataka hutaki kumwelewa. ♦Mwambie mbona nimekusahau au tutakutana nikujue" hadi hapo kama ana mke au hana tayari game is over.

Chapisha Maoni

0 Maoni