Mbinu 5 ya kujua type ya mwanaume wa ndoto yako

Related image



Mbinu 5 ya kujua type ya mwanaume wa ndoto yako. ♦Baada ya mwanaume kukutongoza usijifanye unandegua sana maana umeisha mpa namba yako hivyo kinachofuatia lazima utongozwe hivyo acha kujifanye unarukaruka angali kwa akili zako mwenyewe umetoa namba ila mpe zoezi hili mwambie naomba unitumie 50,000/- 1.Akijibu nikutumie kwa namba gani huyu ndio wa kukuoa maana ukiolewa hutakwenda kuishi na handsome.

2.Akijibu sina huyu sio kwamba hayupo serious sana ila mpunguzie kiwango Wenda 50,000 ipo juu ila hadi anakutongoza alijua mwanamke anahitaji kuhudumiwa keep in mind.

3.Akijibu njoo tuonane nikupe hii sio type yako hizi zinaweza kuwa vibaka kabisa na wengi huchezea na kuacha keep in mind.

4.Akijibu subiri au anauliza maswali ya nini , kazi gani afu nitakutumia afu ake kimnya hata usisumbuke hii ndio type ya mwanaume wanaotelekeza majukumu na familia zao.

5.Akijibu hapa nina 20,000 tu huyo hata usiombe akutumie huyo ni mwanaume material maana mnaweza panga vitu pamoja vya kimaisha keep in mind.

Chapisha Maoni

0 Maoni