MBINU NA JINSI YA KUNYONYA MIDOMO (DENDA) YA MPENZI WAKO



MIDOMO YAKE (LIPS)
Tumia midomo yako (lips), ulimi wako na meno yako kuchezea mdomo wake wa juu (top lip) na wa chini (lower lip) na umbusu kwa msisimko mkubwa. Tumia ulimi wako kupapasa papasa midomo hiyo na ukipenda unaweza kung’ata ng’ata kwa upole na utaona mtiririko wa raha ukionekana katika macho yake, kunyonya ulimi pia huchangia kuongeza kasi ya mke kwenda kileleni.

Chapisha Maoni

0 Maoni