
Leo na kitu nataka niongee,kuna wanawake wanafanya mapenzi na waume zao wakiwa na siku zao/hedhi,jambo hili si zuri haswa sisi Muslim kwa mwanamke na mwanaume sababu imesemwa,katika mambo yalio katazwa ni haramu na chochote kilo haramishwa kina madhara,usimuingilie mwanamke kinyume na maumbile na usimuingilie akiwa na hedhi mpaka atoharike,damu ya hedhi ni uchafu msiwaingilie wake zenu mpaka watoharike(kukumbatia kushikana ruksa kasoro kuingiliana)ukija kwenye afya Dr nilimsikia anasema ina madhara kwa mwanamke na mwanaume,mwanamke kansa ya shingo ya kizazi,mwanaume maambukizi njia ya mkojo,tukija kwenye tamaduni,kufanya mapenzi na hedhi kunatia nuksi wote wa 2,na madhara yake huwezi kuyaona hapo hapo baadae,na mwanamke anaefanya mapenzi na hedhi anapata pepo la ngono hamu inakuwa haiishi,sababu majini wachafu ndo wanapenda,ndo maana sie Muslim hata mke na mume kabla ya kufanya mapenzi waombe dua majini wachafu hushiriki kwenye ufanyaji wao mapenzi,mimba ikiingia uzao wao unaweza unachanganyika na wa pepo unakuta mtoto haelewiki ndo utakuta wanawake wengine wakiwa kwenye siku zao wanaota wanafanya mapenzi au wananyonywa sehemu za siri.
Yangu ni hayoo sikulazimishi ufate akili za kuambiwa changanya na zako.
Mwanaume kama anakupenda atavumilia umalize kwani zinachukua muda gani kuisha.
0 Maoni