
Dear x
Nina imani ulipo kwa muda huu ni mzima una furaha, amani na inawezekana kabisa hukumbuki kwamba nipo na mimi duniani mtu ambaye week chache zilizopita tulikua tunaitana babe, han, sweet, huby, wife na ku share kila kitu kwa furaha yote.
X nipo ninamawazo sana huku nawaza unachokifanya saivi huko na huyo mweza wako mpya... Maana nawaza kila wakati usiku na mchana hivi ni kweli ulikua hunipendi.. Ni kweli ulikua unanitumia kama kipozeo tu.. Nikweli ulikua na mimi lakini muda wote hukuniwaza ila ulijilazimisha tu kwa kua mimi nilikujari sana?
Kwa nini ulinifanya nikuzoe hivyo, kwa nini ulinipa mapenzi matamu kana kwamba kweli unania na mimi.. Kwa nini ulinitamukia nakulidhisha kwa mapenzi yangu na kudai unanipenda sana? Kwa nini ulinionyeshea ucheshi uaminifu na kunijari hivyo mpaka nikakuweka kwenye kundi la mme/mke wa maisha yangu kumbe ulikua umeegesha tu kwa muda? Kwani ni nini mapugufu yangu. Nini ambacho ananizidi huyo uliye naye sasa.. Au hali yangu ya kiuchumi ndio inaniliza leo? Mbona ulidai maisha ni kutafuta na umelizika na jinsi nilivyo hivi. Mbona hutaki kuniambia hata mapugufu yangu ambayo umeyatumia kuniacha ili nikipata mwingine niyalekebishe nisirudie kulizwa?
X popote ulipo na wakati wowote najua saivi unafuraha sana inawezekana wakati huu naadika barua hii wewe unakula deda na mwezako tena la hisia kali au mpo kitandani nguo zote chini jasho limewatoka mnapeana utamu makelele ya chumbani yanapamba show
Inawezekana saivi mpo out mnalishana chocolate na juice huku mnataniana ILA KUMBUKA MIMI HUKU SINA AMANI NINALIA KILA WAKATI NIMEKONDA
maana nikiwaza jinsi ulivyo nipa imani kua tutakua wote mpaka kifo.. Siamini ulivyo niacha.. Sifanyi kitu kikaenda wala sifikilii chochote zaidi ya kukuwaza ulivyoniacha.. Maana hata nikikaa humu dani bado naisikia harufu yako.. Nikilala unanijia ndotoni kama unagonga mlango uingie kama ilivyokuaga desturi yako.Na simama najitazama kwenye kioo labda mimi ni mbaya wa sura.. Na waza labda kuna style unaipendanga sijakufanyiaga kitandani ndio iliyokutoa kwangu?
Dear X mimi nipo kwenye wakati mugumu sana nigepeda japo ungeniacha taratibu lakini siyo hivi ghafura. Bado NAKUPENDA.
0 Maoni