Related image

Please
Wadada nisikilizeni
:
Mwanaume anapokutongoza
Haijalishi na wewe utakua umempenda
Lakini lijue hili kwamba
Mwanaume anaposema dada nimekupenda, naomba uwe na mimi we mzurisana nahitaji mwanamke wa aina yako, nimechoka kuumizwa nahitaji mke nikubalie,,
Yaani anaweza hata akalia
Anaweza hata akawa anakupa kila kitu unachotaka
Na hata kama hujamwombwa wanaume wote wanajua
Wanawake tunataka wote wanajua.. Sasa anaweza akaishi kwenye huo ujuzi wa sisi wanawake tunataka nini
Akaigiza kweli anakupenda
Na wewe ukaingia kingi..
Ukampenda my dia
Hapa nisikilize kwa umakini
👂👂👂👂👂👂👂👂👂👂👂👂👂👂👂👂👂👂👂👂👂👂👂👂👂👂👂👂👂👂👂👂👂👂👂👂👂👂👂👂👂👂👂👂
Mwanaume na heka heka zote alizokufanyia hua hana nia ya kua na wewe ila hua anakutamani aone una maumbile gani na unajuaje kusex (kutiana) (kutombana) over
Sasa nyinyi wadogo zangu hua mkiona anavyokulilia na kukupigia kelele kwamba anakupenda wewe una zama moja kwa moja ukiwa unajiamisha kwamba sasa umepata bwana mme unazama huambiliki..
Kumbe mwenzako hana nia ya ndoa wala uchumba
Mwezio anataka tu (kukutomba)
Hili weka kichwani
Mwanaume kuoa siyo anakurupuka
Mwanaume anaangalia kwanza kajipangaje?
Je ananini cha kuishi na wewe pamoja na familia
Hata kama ni mfanyakazi ila hua namalengo ya kufikia hatua fulani kabla ya kuoa kwa hiyo wote mtakao mkubalia kipindi bado anamipango yake ya kimaisha mtaishia kuumia tu
Hili weka kichwani na hivyo basi unapotongozwa na wewe kua na akili kama yake kua unamukubalia ili musex tu habari zingine usiwe nazo ili hata kama anaenda basi uwe umeshamalizana naye kitandani over..
Ila anaweza akadumu na wewe endapo atakuvua chupi atapenda maumbile yako na sex standard yako itamfurahisha hapo atakungangania hata kama atakua bado yupo kwenye wakati wa kujipanga kimaisha ila kwa kua wadada wengi mmejiachia na mibwana over size maumbile zero sex on the bed ni 0%
Yaani ni hivi ukimaliza tu kusex naye unaona hajibu sms wala hupigiwi simu na majibu ya mkato yanaanza
Bora tulia na Yesu ili uje uangukie tu kwa mwanaume anahitaji tu mke bila kuangalia hayo niliyo kueleza.
...OVER...
KAMA HUJAELEWA UTAUMIA SANA

Chapisha Maoni

0 Maoni