Mara
Zote nimekua nikikukumbusha kua
"Mtu anayekupenda hayupo tiari kukukosea ili akuombe msamaha"
Katika mapenzi makosa yake yapo comoni.
Kabisa yanajulikana la kwanza usaliti, kutokukusikiriza kufnya kinyume na unavyopenda awe, kutoachana na vitu au watu wanamrudisha nyuma, kuacha wivu na kisirani na mengine kama hayo..
Anayekupenda ni mwoga sana kukupoteza au kwenda tofauti na furaha yako ana heshimu upendo wako sana... Maana hata akiwa amemic mapenzi atakuambia na analizika na wewe na mara zote hataona mambo ambayo huyaelewi elewi ambao mmpendwa mtakua mashaidi na mimi...
Maana mtu akikupenda anajua kabisa kwamba kua na wewe ni heshima uliyompatia hivyo kukukosea ni kukufanya umwache naye hua hayupo tiria kukupoteza, atakutangaza kwa ndugu na marafiki zake hatajificha ficha ili tu azidi kutanua uwanja wa kumtetea wakati wewe ukitaka kumwacha atakusema kwa wakubwa ili wamsaidie kukuweka kwenye mstari huyo ndiye anayekupenda
Anayekupenda atamaanisha kweli anakupenda
Tambua kuwa Neno "Nakupenda" linapotoka kinywani kwa mtu aliyependa kweli siku zote ipo sauti usiyoisikia wewe uliependwa, sauti ambayo ipo silent moyoni kwa aliependa inayokusisitiza "Nakuomba usije ukanitenda". Sauti inayokuakikishia kuwa " Nitakuwepo pale utakaponihitaji", sauti hii imebeba neno "Nimekuchagua". Sauti hii upatikana kwa aliependa kweli na mara nyingi umaanisha anachokisema.
.. Hutauliza lini unanipeka kwenu wala lini tutafunga ndoa maana ndoa siyo yake wala gharama siyo zake ni za ndugu kanisa/mskiti jamaa na marafiki hivyo hatojari hana pesa ila mtafanya taratibu zote za ndoa
.. Yule wa kusema bado najipanga ni yule bado ana angalia mwingine zaidi yako.. Ni wa kuishi naye kwa umakini
Yule wa kukusaliti na kukumixa umiza ni wale wale ambao mwisho wa siku kaoa au kaolewa n mwingine wewe utabaki kulia
Je unapendwa au ndio upo kwenye kusindikiza mtu?
0 Maoni