UNA NAFASI KUMI10BORA ZA KIMAISHA..NIELEWE



Listen.. Best inawezekana umeachwa umesalitiwa, umefiwa au kutengwa kabisa na jamii inayokuzunguka
Au unadharaulika huna sauti katika familia yako au kazini kwako kila unalosema halisikilizwi inawezekana kwa sababu ya elimu yako au kipato chako..Unahisi uchungu sana moyoni mpaka hutamani hata kula au kuonana na watu kutwa nzima unashinda ndani una lia
Na umekonda na kupauka afya imezoofu hakuna nguo unayoweza kuvaa ikakukaa vizuri
Umefikia wakati una laani kuzaliwa mpaka unaomba Mungu bora ukutoe tu duniani kwa shida na nyakati ngumu unazozipitia... Ni kwambie kitu bado UNA NAFASI KUMI10BORA ZA KIMAISHA..NIELEWE
Mambo yote hayo unayoyapitia ni mfululizo wa mambo mabaya ambayo yasababishwa na watu wa nyuma yako au walio karibu yako na ambao inawezekana uliwaamini na kuwakabidhi dhamana ya maisha yako kwa kudhani ni watu sahihi kwako lakini ndio hao leo wamekuweka kwenye wakati mgumu
Lakini nielewe bado una nafasi kumu 10 za kufurahia na kuinuka na kuwashangaza watu hao ambao leo wanakuona #hohahahe huna lolote
Acha kufikilia leo nipo hivi kwa nini maana hata ukijua upo hivyo kwa nini haitabadilika ile hali ya wewe kufedheeka kulia au kudharauliwa itakua tiari imeshakishwa kutoke
Sasa hebu lia huku ikiviangalia vitu bora kwako ambavyo utaanza navyo kuzifufua nafasi 10 ambazo zilizimwa na watangulizi wako auhao uliowapenda na kuwaamini
Hebu acha kuwaweka kama sehemu ya mipango yako mipya sasa ona unaweza kusimama bila wao na kuna malaikamtu atakuja kukushika mkono kukuinua mpaka juu kileleni ataanza kwa kukupa mawazo mapaka kukupa njia na wala siyo vitu lakini utafanikiwa kupia yeye
Usimufikilie leo huyo mpumbavu mmoja aliyepelekea ugumu wa maisha yako acha kabisa maana anazidi kutumia muda wakovibaya badala uwaze juu ya nafasi 10 unabaki kumshangaa yeye na roho yake hiyo ya kishetani
Kaa na wale wanaoliona tatizo lako kama siyo tatizo maana hao ndio wanamawazo mapana zaidi kukutoa hapo kuziona nafasi kumi za furaha na kuheshimika
Endelea kuwasikiliza wale wanopata muda wa kukutia moyo na kukuhamasisha kuyapuuza majutohayo na kuiruhusu furaha kwako ili hao wawe chachu mpya ya kukupa nguvuya kuyasimamia maamuzi yako mapya
Type Najiona Mimi
Share
Share
https://www.facebook.com/allaboutrelationshipandlife/

Chapisha Maoni

0 Maoni