amna lilivyojengwa vizuri. Watakuonea wivu hata baada ya kufa na watakasirishwa na RIP nyingi katika ukurasa wako au hata kuchukizwa na idadi ya watu waliohudhuria mazishi yako au magari ambayo yamekuja.
:
.
Ndiyo watu kama hawa wapo hawataisha lakini tatizo sio wao ni wewe, kwanini unahangaika nao, kwanini unashindana nao, kwanini unawapa chumba katika akili yako, kuwawaza watasema nini, kufanya mambo ya kuwakomoa na kujaribu kuwafurahisha. Kwanza jua hata ukijenga nyumba angani hawatafurahia sasa kwanini wakusumbue kichwa.
:
.
Unapotumia muda wako mwingi kujibishana, kushindana na kuwaza watu wenye chuki na wewe inakufanya ushindwe kuona upendo ambao unakuzunguka. Kuna watu wangapi wanakupenda, kuna watu wangapi wanakusifia, kuna watu wangapi wanakupigia simu na kutaka kutoka na wewe hata kunywa maji tu na wewe.
:
.
Lakini wapi hutaki kuwasikiliza na kuwapa nafasi katika ubongo wako bado unamuwaza yule kisokorokwinyo ambaye kila siku ni kukusengenya na kukusema mabaya. Ndugu yangu maisha ni mafupi kuanza kuwaza flani ananiwazaje flani ananionaje, acha kuwa mtumwa wa mawazo ya watu. Namna watu wanavyokuona, wanavyokuwaza haikuhusu ni mawazo yao na hayo ni maisha yako ishi unavyotaka ishi inavyokufurahisha. .
KAMA UMENIELEWA type #asante

https://www.facebook.com/allaboutrelationshipandlife/
0 Maoni