WIFI; Nimeona meseji yako umemtumia mume wangu kuwa aje kautoe out, niambie wewe ni nani mshenzi mkubwa kazi kutembea tu na waume za watu mbwa wewe!
DADA YAKE KAUZU; Mimi ni mke mwenzako Bibi hivyo kaa kwa kutulia, mume wetu huyu!
WIFI; Kwa taraifa yako anakutumia tu, huolewi, mimi nina ndoa ya kanisani na watoto ninao, hawezi kuniacha!
DADA YAKE KAUZU; Wewe baki na ndoa yako ya kaniani, ndoa inisaidie nini, kama kuolewa kwenyewe ndiyo huoko, mwanamke umejikalia ndani hujigusi kama umepigwa sindano ya maiti, umekauka kuoza huozi, badala ya kutafuta hata kazi ufanye unakalia kuhangaika na simu ya mume!

WIFI; Ndiyo basi nahangaika si ni wangu, nakuambia huolewi na kama ulikua unatuma vimeseji meseji vyako ili nimuache mume wangu basi umechina!
DADA YAKE KAUZU; Dada umuache ili nimpeleke wapi? nani anataka kuhangaika na mwanaume kama yule. Wewe kaa hapo nyumbani, mzalie mimi najengewe, nikimaliza ujenzi nakuachia dubwasha lako, mwanamke hutulii kama choo cha stendi, yaani mtu anaingia tu kabla hajanya ushaanza kunuka, kwa taarifa yako mumeo simuachi mpaka nyumba yako iishe, wewe fanya tu kazi ya kupekua simu yake na ukinitibua na mtoto namzalia, unaringia watoto kama kizazi unachopeke yako, kizazi ninacho ila sasa hivi najengewa kwanza wewe endelea kuzaa tu Bibie!

WIFI; (Akakata simu!)
AGNESI; Huyo ni nani mbona unamtukana hivyo?
DADA YAKE KAUZU; Wifi yangu!
AGNESI; Wfi yako ndiyo unamtumana hivyo, inamaana unatembea na Kaka yako?
DADA YAKE KAUZU; Hapana, wifi mpumbavu tushamchoka, hana kazi zaidi ya kupigia kila mwanamke anayemuona kwenye simu ya Kaka. Jana nilimtumia simu Kaka kuwa nimemmis aje kunitoa out, sasa huyu mwanamke namba yangu ya Haloteli hana ndiyo kachanganyikiwa anaanza kunitafuta akidhani mchepuko wa Kaka.

AGNESI; Sasa si ungemuambie tu ni wewe, huoni kama utavunja ndoa ya Kaka yako, hapo mwenzako kapaniki anaweza kuondoka kumuacha Kaka yako?
DADA YAKE KAUZU; Hahaha! Aondoke aende wapi? Sanasna atu atamsumbua Mama yangu kumuambia matatizo yake, tushamzoea kila siku simu tunamchora. Kuondoka mhezo, hana kazi hana kibarua, akipewa mtaji anaishia kunmunua vijora na magauni yake ya vitenge kama anaenda kuchamba, akiondoka havuki mwezi, Bleed ikimuanza hana hela ya Pedi anarudi, nilikua nampa tu changamoto!
AGNESI; Daaah! Familia yenu mnakazi, sasa Kaka yako akimuambia ni wewe?
DADA YAKE KAUZU; Amuambie nini, hapo watagombana mwezi atauna Kaka anapata uhuru wa kufanya mambo yake, wala hata hachepuki ashamjua mke wake kisirani kila yai anataka atage yeye basi wote tunamuangalia tu!

0 Maoni