MUSICHUKIE ILA NDO UKWELI, HAYA MANENO JAPO UKWELI UNAUMA

Mwanamke unaolewa, hujui kupika, yani unapika mchuzi wenye ladha ya machozi, Harafu unajichekesha chekesha tu, Wengine wavivu hata kupika hawataki ... yeye kila saa simu tu utadhani anafanya biashara ya unga.
_ Unakuta mtu ameolewa hana mwezi anataka house girl... huo ni uvivu na unapoelekea ni kubaya, Wanawake wengine unaolewa haafu unakuwa mchafu mchafu tu, hujui kupendeza, unavaa magauni yako ambayo hayashiki pasi, yani unaenda kumsevia mmeo chakula ila unakuta umekanyaga maugali huko mguuni haueleweki yani mpaka anaona kinyaa aisee.. au umejimekapua mpaka umekuwa kama mdoli, makucha marefu kama paka... kila saa umenuna utadhani askari wa ibilisi.
_ Mwanamke umeolewa ila kila siku mmeo anaondoka kwenda kazini wewe umelala, nguo ya kuvaa ananyooshewa na dada wa kazi, hujui kavaa nini, hujamkiss wakati anaenda kazini, akifika ofisini wadada anaofanya nao kazi ndiyo wanamchana nywele na kumtengeneza vizuri, lazima uachiketu.

Image result for love in africa BED TIME

Chapisha Maoni

0 Maoni