GEORGE; Huyu jamaa fala sana, anamfutilia sana mke wangu, namuangalia tu ila kitu nitakachomfanya hataamini!
KAUZU; Umejuaje kama anamfuatilia mke wako?
GEORGE; Si naona anamtumiaga meseji za kijinga jinga. Ambacho hajui nikuwa mimi mke wangu tunaaminiana, simu yake simu yangu, kila mtu akimtongoza ananionyesha, huwa tunawaangalia tu tunawachora, wengine nawajibu mimi, yaani inbox yake niko huru nayo sana hanificho chochote.

KAUZU; Huo ndiyo ufala sasa ambao sifanyagi? Mwanamke anakuonyesha meseji za kutongozwa za wale wanaume ambao hawataki, ambao anawataka anaw3akubalia anazifura kabla hujazisoma.
GEORGE; hapana, wakwangu yuko tofauti, zote aananionyesha na namuamini hawezi kunisaliti, kila mwanaume akimtongoza ananionyesha tunamjibu vibaya kisha tunamblock.

KAUZU; Kama anakuonyesha na mnajibu pamoja inamaana na wengine mnawakubalia pamoja ila siku yam echo anaenda mwenyewe maana hapo sielewi?
GEORGE; Tunawakubalia kivipi?
KAUZU; Nashanagaa unasema anakuonyesha meseji za wanaume wote, wakati mimi nilinza kumtongoza mke wako tangu mwaka jana mwezi wa nane na tulikua tunachart mpaka akanikubalia, sas akama anakuonyesha kila meseji inamaana wewe ulikubali atembee na mimi?

GEORGE; Acha utani mke wangu namuamini, hawezi kutembea na wewe, hawezi kunifichcha chochote.
KAUZU; Basi labda nilichanganya maana nilianza kumtongoza muda na unakumbuka kipindi kile alipokuambia kuna rafiki yake kafiwa anaenda kumsindikiza ukapigiw aismu na rafiki yake analia? Basi yule alikua ni demu wa mshikjaji wangu tulikua Zanzibar tunakula maisha, sijui kama na hilo alikuambia?

GEORGE (Kwa hasira akanyanyuka na kuondoka)
NB; Si kila anayetongozwa na kuja kukuambia anachepuka na wengine hapana, wengine ni ushamba tu unawasumbua hawajui kukataa wenyewe, ila kuwa makini na hiyo tabia!
0 Maoni