Please Hebu nakuombeni waza mawazonje ya kumtegemea bwana ako au mpenzi wako .. Kama kunajambo mhimu ni vyema ukamtegemea baba, mama, kaka, mjomba au shanganzi yako kulingana na mahusiano yaliyopo. Lakini usiwaze jambo mhimu katika maisha ukimtegemea mchumba, mpenzi au mchepuko wako.. .. Kuwategemea watu hawa ni kujifungia ndani na kutupa funguo chooni badae unawasha moto. Kinachofuta nini kifo cha maumivu makali sana .. Jaribu kuyafanya mapenzi ni ziada kwako katika muda wako unautumia kuwaza na kupanga mambo mhimu Acha tambia ya kuwaza mapenzi au mahusiano kuanzia kumi za usiku hadi saa tisa za usiku na kwenyewe baada ya kupitiwa na usingizi ndio unapumzika.. .. Unaamuka aunaagalia simu kama ulitumiwa sms au missed call Geuza fikira hebu anza kuwaza namna unavyoweza kupata pesa za kukuvalisha pamba kali, kwenda mapumziko hotel kali, kwenda mbuga za wanyama kuzuru, kusaidia watoto tatima na kutembelea wagonjwa hospitalini.. .. Acha kuwaza ulivyokua unashikwa shikwa na kugeuzwa geuzwa kitandani.. Acha kuwaza ulivyokua unapewa vijisenti vya kukufanya uwe radhi kuchangia uume na wanawake kibao wa jamaa huyo Acha kuwaza ulivyo achwa kwa kukaliwa kimya bila sababu yoyote Acha kuwaza muda uliopotezewa na huyo mpumbavu.. .. Sasa waza namna ambavyo baba au mama au kaka au anko atavyokupa mtaji utaufanyia kitu gani ili uwe na pesa ya kujisavia na siyo kupewa kama mwanafunzi.. .. Waza kua boss wala siyo mtumwa wa kugawiwa pesa ila waza kua na pesa ya kujipangia mwenyewe matumizi yako Ule kuku na karanga Uendwe swimming pool Uende cinema au stand up comedy. Haya ninayokuambia yanawezekana ukiamua kuanzia leo my dia
0 Maoni