Hospital wamekwambia unashida ya mayai ?
Au Mirija imeziba .
Au kila ukishika mimba inatoka ?
Au hedhi yako imekuwa ya shida sana?
Chukua mizizi ya mbaazi + changanya na mizizi ya kunde yachemshe kwa pamoja pata kikombe kimoja asubhi na kabla ya kulala kimoja pia, hapo tayari ni tiba ya kusafisha kizazi, kuboresha mayai na kusogeza kizazi kilicho mbali , kushika mimba kwa haraka ndani ya siku 21.
Hakikisha kwamba kila baada ya siku mbili 2 unabadilisha mizizi na kuweka mingine mipya, INAFAA ZAIDI MTUMIE WEWE NA MWENZA WAKO
.. kama ungeenda kwa mtaalam wa afya mchanganyo huu angekutoza sio chini ya 100,000/- ila sasa umejifunza Bure 😅😅😅👂👂👂
Hii ndio maana halisi ya page yako ya
Hapa tunaongea ukweli na uhalisia tu
Kama hiyo itakua ngumu basi nyingi
Ni
mizizi ya mipapai ile michanga pamoja na mizizi ya miti ya jamii ya Ndula unachemsha pamoja hasa hii inafaa sana kama ukiwa katika hedhi kusafisha uchafu wote hapo utakuwa upo salama kabisa kwa kushika mimba hizo ndio dawa za asili ambazo watu wamezitupo mkono aidha kwa kutokujua umuhimu wake pia muhimu ni kujitunza yaani kukwepa kutenda zinaa ovyo ovyo bila mpangilio na kutumia madawa haya ya kuzuia mimba kama p2 na kufanya abortion ni mbaya sana kwa uzazi wako
(Ndula ipo kama nyanya chungu au tunaweza kusema nyanya chungu pori hailiwi Runda zake ni za njano zipo kama giroli ni mviringo)
Mwambie mwezio juu ya page hii
Nawapenda ❤️❤️❤️😍😍💘💘
0 Maoni