This is also Nice Topic !!!! .

Image result for chumvi ya mawe

Kama Unabwana bahili kama Diamond !!!! Na pesa za kukuonga zipo !!!! Usikubali akutumie Mpesa !!!!! .
.
Mwambie mkutane akupe cash !!!! Akishakupa cash , hata kama ni elfu 10,000 , usiitumie 😂😂😂 Weka kwenye wallet !!!! .
.
Chukua kipande kidogo cha chumvi ya mawe !!! Weka kwenye wallet 😎😎😎
.
.
Next time hatakupa 10,000 atakupa 30,000 !!!!! Yaani kila akikupa pesa iwekee chumvi kwenye wallet 😂😂😂
.
.
Yeye Uko Aliko mipesa Inajaa , na wewe uko ulipo unahongwa kama zoteeeee 😂😂😂😂😂
.
.
Please Tumia Chumvi ya mawe kwa mabwana bahili tu !!!!!! Na usitumie kumchuna mume wa mtu 🤣🤣🤣😂😂😂 hayo yatakuwa matumizi mabaya ya Chumvi !!!!!! Hahahaaaa 💃🏽💃🏽💃🏽😜😜

Chapisha Maoni

0 Maoni