Kwa kukupenda sana kupita kiasi
Kwa kukumbuka
NISAMEHE kwa kutaka kukuona kila Siku japo sura yako.
NISAMEHE kwa kukufikiria kila usiku kabla ya kulala na kukuonesha nakupenda nawe ukatumia nafasi hiyo kiyumbisha akili yangun hisia zangu
NISAMEHE pale nilipo taka kukufunya ufurahi na USO wako uwe na tabasam mda wote bado nisamehe
Kwa kukutaka uwe sehemu ya maisha yangu bila kujua moyoni mwako sikuwa na nafasi ya kudumu
NISAMEHE
Kwa kuwa msumbufu na kero kwako
Kwa kutaman kukuona kila usiku
NISAMEHE
Pale nillipo onesha wivu wangu nilipo kufokea na hata kukufanya uhuzunike
NISAMEHE
Pale nilipo fikiria kuwa unanipenda kama ninavyo kupenda kumbe mwenzangu ulikuwa unapita tu.Nisamehe pale nilipo kukera kwa kukutumia msg au kupiga simu.hata ambapo hukujibu nilikulaumu sana
NISAMEHE pale nilipo onesha kukujali sana.nisamehe kwa kila aina ya kosa nililo wahi kufanyia.Nami mwanadamu Nina mapungufu yangu.
NISAMEHE
Kwa kuwa mvumilivu na mwaminifu kwako maana nimefunzwa kupenda sio kutenda.nisamehe pale nilipo Lilia unipende wakat hukuwa tayari.nisamehe kwa kwa lawama zote nilizo kupatia maana sikujua kuwq huna hisia nami.uliondoka wakat bado nilikuwa nakuhitaji
Pamoja na yote lakini IPO siku utakuja lutambua thaman ya UPENDO wangu kwako pale ntapo kuwa nimeondoka.
Furaha yangu uliyo ondoka nayo naamini IPO SKU itarejea maana Mungu anajua mapito yangu.. nilijtajhid kukupenda na kukujali bila kujali umbali au ukaribu..Popote utapo kuwa naomba japo ukumbuke na mazuri yangu tuliyo Fanya pamoja na kupanga wote
NISAMEHE kwa kitendo cha kukuamini sana na kutokuficha chochote maana nilijua we ndo MUME/MKE wangu WA kesho kumbe nilikuwa gizani
MAALUMU kwako mwenzangu uliye pitia ktk anguko LA penz. Kila kitu huja na kupita kikubwa uzima.
Leo uliye mpenda sana kwa sasa anaitwa MKEau MUME au MCHUMBA WA Fulani basi ni nafas yako kujipanga upya kusubiri fungu lako
Apangalo Mungu mwanadamu huwez pangua ridhika hakuwa ridhiki yako ipO siku atakumbuka umuhim wako
0 Maoni