Mwanamke bora siyo OMBA OMBA

Related image

Pamaoja na hali ngumu.
Pamoja na ugumu wa ajira.
Pamoja na hali ya upatikanaji pesa mgumu.
Atakapo kufanya wewe wa malengo yake ya kudumu,pesa kwake sio kipaumbele.
Wana shiida ndio lakini wewe huwezi kumaliza matatizo yake.
Kabla ya kuwa na wewe,ujapatikana aliwezaje kuishi.

Ipo tabia ya wanawake wengi,wengi kwa sababu malalamiko ni mengi.
Tabia ya kuwa omba omba,amempata CHILANGAYA,anamtathini anafahamu anafanya kazi hawezi kukosa chochote kitu.
Ni mizinga asubuhi mpaka jioni,matatizo yoote anaamishia kwake,kisa tu ana mipango ya kumuoa.

Mwanamke mwenye malengo anasoma alama za nyakati hata kama ana shida,anavumilia au atasaka kwa vyanzo vingine,kama zamani aliweza kuishi bila wewe viipi leo akupoteze kirahisi kisa tu matatizo yake.
Hata kama atakusaidia,hawezi kumaliza shida zako zaidi unashusha thamani yako kwake.
Atakusaidia ila unamuondoa kwenye mipango yake akuone mdangaji tu,uenda ndivyo ulivyo toka nyuma.

Ipo hivi wanaume tukikuweka kwenye mpango wetu tunajali,ukiona mwanaume akujali kwa hali na mali hana mpango na wewe.
Mwanaume anapenda kufanya kitu kwa kuamua yeye afanye sio kuamuliwa,kuombwa na mwanamke inatutatiza mnoo hasa ndio uombwe kitu huna kwa huo muda,tunaumia sana.
Mtupime tutoe kwa uhuru wetu mvumilie hata mkiwa na uhitaji mkubwa.

KWA MSAADA.
Mwanamke ukizidiwa sana na unahitaji msaada,tumia akili ya kujiongeza.
unahitaji pesa ya kusuka,ukikaa na wa malengo yako,igiza,,, aisee nimekutana na shot jana amesuka amependeza,hapo shika shika nywele zako,kama wigi lifumue,mwanaume atajiongeza.

Unahitaji pesa ya mafuta,,jiongeze,,HUBBY nina machunusi nimeishiwa Lotion.
Unaumwa eleza kwa mtu wako ,,,Leo nina hali mbaya saaana naumwa,,atakuuliza ummenda hospital,mjibu tu sipo ok pesa sina,,umemaliza na Mengineyo nenda kwa utaratibu huo,mengine ujiongeze tu mwenyewe.

Mwanaume akipenda hata kama mgumu kutoa atatoa tu kwa njia hiyo.
Kama ashtuki kwa hilo huyo ubongo wake mgumu,kama hana atakuambia kwa sasa sina ngoja na atatafuta,hana unaumwa atakopa utibiwe.
Vinginevyo uhesabu huna mwanaume,kama niyule akiwa na nyege anatuma nauli na pesa ili uende basi jua hakuna kitu hapo

Chapisha Maoni

0 Maoni