WANAUME MNAFELI WAPI?

Related image


Kukaa mda mrefu katika Tendo haina maana utamridhisha mwanamke,
Kumbuka mwanamke haridhishwi kwa kukaa mda mrefu katika tendo hata siku moja,
😂
Utatumia madawa saaana lakin bado utadharaulika palepale tu.
😂
Ngoja nikuibie siri Moja hapa kubwa na ya msingi
👄Mwanamke huridhishwa na kiwango chako cha kuweza kuziamsha hisia zake vyema.
👄Usipoweza kuamsha hisia za mwanamke Utatumia hizo vumbi la mkongo sijui madawa gani na utaachika palepale.
👄Kumbuka hisia za mwanamke Ndio humfanya aweze kufurahia lile tendo kitandani.

Unapoanzia katika kumuandaa mwanamke unapaswa kujua unachofanya ni nini na kinaleta matokeo gani kwa mwanamke?
😢Hivi unajua kuna wanaume wanamkojolesha mwanamke kwenye maandalizi tu?
😢Usipoamka leo watakuamsha wenzako ndugu 💏Mjue mwanamke wako ukimshika hapa nin anajisikia, ukimkumbatia hivi anajisikiaje,
💏Mjue mwanamke vyema na uweze kumridhisha vizuri kabisa 💏💏Sasa ukiweza kuamsha hisia za mwanamke na kwenye tendo unakaa dakika 5 sijui 8 ohoooo mwenzangu mwanamke hapo ni shida pia kaa mda mrefu, lakin hakikisha unacheza na hisia zake ili awe anafurahia sio unamuumiza.
💏💏Amsha hisia zake kwa kiwango cha juu kaaa mda mrefu mfurahishe Mwanamke mara nyingi uwezavyo.

KUMBUKA💏Mwanamke hata hapaswi kupata mda wa kuhesabu umemkojoresha mara ngapi ukimuuliza akijibu mara nyingi tu au sielewi sijahesabu
Basi hayo ndio majibu yanatakiwa siku zote

Chapisha Maoni

0 Maoni