Tabia za wanawake na sifa zao.



Wanaume najua hapa nimewafikisha mnapopataka. Inasemekana wadada wana tabia tofauti katika mapenzi kulingana na maumbo ya miili yao:
1. Wasichana wafupi wanaongoza kwa wivu wa mapenzi na kuwajali wapenzi wao.
2. Wasichana warefu huwa hawawajali wapenzi wao na hawaogopi mahusiano kuvunjia hawajui kubembeleza hata kidogo.
3. Wasichana wenye dimpozi, mwanya , matege, Mbinuko ,Mhips ,hawa huongoza kwa kutokuwa WAAMINIFU katika mapenzi.
4. Wasichana Wanene huongoza kwa mapenzi ya kweli yaani akipenda amependa kweli.
5. Wasichana Wembamba hawa huwa ni Wabishi sana na hawa wanaongoza kwa kutendwa!
6. Wasichana wenye weuc wanaongoza kwa kutoa… na kupenda wanaume warefu na weupe.
7. Wasichana weupe wakiongoza kwa kuzalia nyumbani, na hawa weupe wengi wao huolewa wakiwa na watoto tayari huku wakipenda kuolewa na waarabu kulko wanaume weusi.

Chapisha Maoni

0 Maoni