
Kuchezeana ndio mlango mkuu wa tendo maridhawa la ndoa,...
na kadiri mnavyotumia mbinu mpya ndivyo mnavyofurahia zaidi...
Hivyo, ni muhimu sana kutambua njia mpya za kunyegeshana na kuchezeana...Baadhi ya dada zangu wanaweza kujiuliza iwapo suala hilo linaweza kuwazidishia furaha au litawafanya wawafurahishe wenza wao tu...?..Tendo la ndoa linazihusisha pande mbili ambapo miili na hisia zao hupata kuwasiliana,...
hivyo ukiwa na hisia kwamba unaweza kumfurahisha itakusaidia sana kufurahia na kufika kileleni,...
na itakuandalia mazingira ya kuwasiliana naye kiasi cha kutoona aibu ya kumwambia afanye kile unachokipenda ili kukusisimua....Na sasa ninawaleteeni nasaha kadhaa za kuchezeana ambazo ninaamini kuwa zitakuwa na msaada fulani kwako...1. *MASSAGE*...Massage ni miongoni mwa zana muhimu sana zinazopatikana katika mikono ya wanandoa na ambazo hutoa burudani maridhawa kwa mwanandoa....
Massage humzidishia mwenzako mood ya kuwa pamoja nawe...
Kitendo cha kuushika na kuugusa mwili wa mkeo/mumeo huongeza msisimko wa aina yake...Hakika jambo ili ni miongoni mwa mambo yenye ladha ya aina yake kwenye mahabba...
Mimi binafsi nitapenda kuja kumfanyia massage mke wangu, na itasaidia sana...Katika kumfanyia massage mwenza wako, tumia mafuta yenye harufu mnayoipenda nyote...2. Kuna fikra za kimakosa kuwa mwanaume hana maeneo yenye kumsisimua zaidi ya uume wake, lakini hilo sio kweli...
Kila eneo la mwili wake litatoa mwitikio kutokana na mguso wako na mabusu yako...kuna maeneo 9 yanayomsisimua mwanaume...sijui munayajua...?.. Kama humuyajui kesho tukijaaliwa nitawajuza...
usiwe kama sanamu, mfanyie mambo mpaka mwenyewe abadili kabila...3. *KUJIAMINI*...
Kama ninavyosema mara kwa mara, kujiamini ndio kichocheo kikuu kinachokupa msisimko,...
iwe kwako au kwa mwenza wako...
Na hata wale kaka zangu wanaowahi kumwaga, miongoni mwa sababu za tatizo hilo ni pamoja na kutojiamini...Upende mwili wako pamoja na kasoro zake, wala usiwaze hata kidogo kuhusu uzito wa mwili wako...
weka akili yako kwenye ufundi wa kimajnun na umaridadi wa kike...4. *MAANDALIZI*
Maandalizi ya tendo hayatakiwi kuanzia kitandani au chumbani...
Yanatakiwa kuanza mapema kabisa...
kwa mfano, wakati wa asubuhi unaweza kumuwekea kikaratasi kidogo mfukoni mwake ukimweleza shauku yako kwake, hamu uliyonayo na jinsi unavyosubiri ujio wake...Au unaweza ukamtumia meseji ukimweleza namna ulivyowahi kufurahia siku moja alivyokupinda kwenye dressing table...
naam ile dressing table unayoitumia kujigeuza kama samaki... Ushanifahamu...?..Au mume anaweza kumtumia ujumbe mkewe akimweleza namna anavyoshukuru kuwa na mke kama huyo na namna alivyofika mwisho wa reli kwa mahabba anayopata...
Amwage hisia zake, tena zile za “ipe roho”...
naam, aeleze namna alivyo na hamu ya kukishika kiuno chake au kuunyonya ulimi wake...5. Unaweza kumsukumia kitandani na kuanza kuvua mavazi yako hatua kwa hatua,...
ukamfanya aburudike kwa kukitazama kitendo chako hicho,...
kisha ukamwendea na kuufanya mwili wako ugusane na mwili wake...
Nakukumbusha: Usisahau kumnong’oneza neno tamu sikioni… ukiweza uzamishe ulimi wako sikioni mwake..6. Baada ya kazi na majukumu ya kutwa nzima, mnaweza kuhitaji kuoga...
hii ni fursa nzuri ya kuchezeana, kwa sababu maji huituliza mishipa na pia inaweza kuwavuta na kuwapeleka kwenye raha za mahabba mkajikuta mnakula nchi...7. Mnapotazama televisheni jaribu sana kukaa jirani na mkeo/mumeo, hilo linaweza kuwaletea msisimko...
Aidha, usisahau zile faida za kuhusu kulala bila nguo...
hilo likiwa zito kwako, angalau lala na nguo nyepesi...8. Kunong’oneza kunaweza kuwasha moto wa hisia...mnong’oneze sikioni mwake kwa maneno matamu uone kitakachotokea...
Tumia njia hizi za kawaida, uhusiano wako wa kimahabba unaweza kupata msukumo mpya...
Kumbuka: Mambo madogo ndiyo yanayofanya maajabu...
0 Maoni