MVUTIE MUMEO KWA MWENEKANO WAKO.*

Related image


Mvuto ni muhimu sana kwa mwanaume Wanaume wanapenda wanawake wanaowavutia kihisia. Niwaambie wanawake mlioolewa jueni kumvalia mumeo mavazi yanayomvutia.
Sio vibaya kama nilivyosema hapo juu ukavaa kanga moja kama upo pamoja nae. Kama nilivyoeleza hapo juu mwanaume anasisimka kwa kuona. Kwanini avaliwe kanga moja na wanawake wa nje wakati wewe unawez kuvaa. : Wanawake jueni hili mnapokuwa karibu na waume zenu jianchieni Kwa mfano hakuna ubaya wakati mumeo karudi kutoka kazini akiwa amechoka, wakati unampotengea chakula ukavaa kanga moja au night dress.

Unaweza kuona hilo ni jambo dogo lakin kisaikolojia utakuwa umefanya jambo kubwa. Hapo hata kama atakuwa ameudhiwa kazini atasahau na kukuona wewe mpenzi wake.
: *Usafi panga vitu vyako vya chumbani vizuri:* Jambo hili limekuwa lizizungumzwa san hadi wengine wanasema mwanamke usafi.

Kisaikolojia mpangalio wa vitu ndani na hasa chumbani kama ni mbovu unawez kuathiri hata tendo la ndoa. Kama chumba ni kichafu vitu havijapangwa vizuri kisaikolojia kunapunguza msisimk wa mapenzi na hata kumfanya mwenzako achukie kufanya na wewe tendo hilo ukadhani hakupendi. : Mwanamke tandika kitanda chako vizuri panga chumba chako tandika shuka nzuri. Siku hizi kuna shuka zina manen ya mapenzi nunua hiyo uwe unatandika Kisaikolojia utamfanya mpenzi wako avutiwe chumba chako na hata wewe mwenyewe.

Mazingira mazuri yatamfanya asisimke haraka kimapenzi anapokuwa na wewe na hata kuitamana nyumba yake na kurudi mapema nyumbani.

Jinsi chumba kilivyo rafu ndiyo wanasakolojia wanasema kunafanya ubongo uwe rafu hata kuchukia.

Unaweza kumwona mwenzako anachuk kumbe ni kutokana na mpangilio mbovu wa chumba ndio sababu inayomfanya achukie. : *Uwe msafi wa mwili:* Sio usafi wa chumba pekee unatosha pi na usafi wa mwili wako ni muhimu.
Niwakumbushe wanawake hakuna kitu kinachowachukiza wanaume kama mwanamke mchafu. Asiyejipenda. Sio lazima ujirembe sana lakini jitahidi uka msafi. Oga vizuri paka mafuta au lotion yako jipulizie manukato kidogo yanayomvutia mumeo.

Sio lazima utumie gharama kubwa usafi wa kawaida unatosha na kupaka rotion kuna fanya ngozi ya mwanamke ikawa laini inayovutia

Chapisha Maoni

0 Maoni