TUJIFUNZE TIPS ZA FRENCH KISS 1-Upige mswaki vizuri usugue haswa ulimi ndio hutoa harufu WAWEZA pia kusukutua na mouth wash kuuwa bacteria wanao sababisha mdomo kunuka. 2-Hakikisha lips zako laini sio kavu waweza kuchukua mswaki ukazisugua taratibu kutoka dead skin au pamba waitia maji kisha wasugua lips zako na kupakaa lipbam au Vaseline kunipa lips moisturizer zisiwe kavu. 3-Epuka kula kitunguu maji au kitunguu thomu kuepusha harufu ya kukaraisha mdomoni ukakata stimu mwenzio,tafuna big g zenye flavor za mints au menthol kinywa kiwe fresh,fresh breath pia big g ukitafuna inazalisha mate kwa wingi INAZUIA wale bacteria wanasababisha kinywa kunuka. 4-Anza kwa kumwangalia mwenzi wako kimahaba😍 kuwa zero distance pumzi ziongee mtajikuta automatically mnataka kubadilishana lita za mate👅 5-Usiaanze tu na ulimi relax anza na lips hizi za chini kuzinyonya💏 6-Raha ya DENDA ufumbe macho ndo utasikia utamu wake sio wakodoa kodooo mimacho kodooo👀 7-Mikono muhimu pia uitumie kwa kumpapasa na kumkumbatia. 8-MWANAMKE kunukia harufu nzuri ina hamasisha na ku relax ubongo wakati harufu mbaya ina karahisha na kukata stimu hivyo basi waweza kujitia fitna yako au Al Oud kwenye nywele nyuma ya masikio chini ya kidevu nk. 9-Control mate yako sio waijaza mdomoni kama mama kijacho mwenye mimba changa😄 10-Control meno yako pia kuwa kama kibogoyo sio wamgonga gonna mwenzio na meno mdomoni😃 na unyonye ulimi kwa madoido lips sio mtu akitoka hapo lips zimevimba ulimi unauma. 11-Waweza tumia pipi🍡 chocolate🍫 strawberry 🍓zabibu🍒 kulishana huku wanakula denda just fantasy wengine wanatumia wine🍷 ubunifu wako tu😊
0 Maoni