*MAKUNDI HATARI YA KUTO KUINGIA,KWENYE MAHUSIANO, MAKUDI AMBAYO MTAISHIA TU KWENYE KUSEX NA KUACHANA*
makundi haya ninayokutajia ni makundi ambayo, hayanaga mahusiano yaliyo serious, mara nyigi makudi haya yana kudharauliana kwingi na kuyafanya mahusiano yenu kama mnapeana tu kwa kufurahishana ili kusukuma siku mbele hivyo ukianzisha mahusiano na makundi haya basi ukilizwa huko, nikumbuke mimi kwamba
Nilishafundishwa na kuonywa,
Nakazia tena makudi haya usiingie nayo kabisa kwenye mahusiano kabisa,
*labda kama yupo tiari kukuoa kwanza ndio muanze kusex hapo sawa kubali, ila siyo muanze kufokonyoana eti utegemee atakuoa HAPANA USIDHUBUTU MY DIA*
Labda tu na wewe uanzishe mahusiano ya kujifurahisha ila siyo ya serious hapo sawa maana najua badae hautakuja kuumia, lolote likitokea utakua tiari kulipokea, kwa sababu na wewe ulikua huwazi ndoa
Naanza na kundi la kwanza.. *1.MFANYA KAZI MWENZIO, AU MWANAUME WA OFISI YA KARIBU NA OFISINI KWAKO AU MWANAUME RAFIKI WA MFANYA KAZI MWENZIO"*
Kundi hili, ni baya sana, mara nyingi watu mnapofanya kazi ofisi moja hua kuna kuchokana mapema na kutokana na maneno ya ofisini mtu huweza kukusoma mapungufu yako mengi na kujikuta tu amesha kukinai na mwisho wa siku anakugeuza kua wa matumizi na mwisho hakuna ndoa..
Kama ni rafiki wa mtu wa ofisini kwako atapeleka habari zako kwa huyo mtarajiwa wako hivyo utaonekana tu hufai kua mke, utaliwa na mwisho wake hakuna ndoa.. My dia naomba usijaribu, ukijaribu utakua unataka kuijaribu post yangu hii na itakua sawa na kushindana na upepo mwisho wa siku utalia wewe..
Utaanza kuambiwa tufanye siri, mara kamtongoza mfanya kazi mwingine hapo hapo, mara kaanza kubadilisha ratiba za siku kama mlikuaga mnatoka wote ofisini na kwenda nyumbani wote, ataanza kutoa udhuru wa kukukwepa jua tiari nyumbani ya nyasi imeshika kiberiti.. Ndio unaachwa hivyo. *2.MWANAUME ALIYEKUA ANAKUJUA UNATOKA NA MWANAUME MWINGINE, INAWEZEKANA AKAWA ALIKUA RAFIKI AU MTU WA KARIBU NA MPENZI WAKO WA ZAMANI"*
Hili ni kundi kwanza hua ndio kundi linalojua vizuri malengo ya mpenzi wako wana semaga "*usimtukane shimeji yako maana ndiye anayejua anayeolewa ni nani*
Si.
https://www.facebook.com/allaboutrelationshipandlife/
0 Maoni