SABABU YA WEWE KUENDELEA KUWA RAFIKI NA SIO MPENZI WAKE


SABABU YA WEWE KUENDELEA KUWA RAFIKI NA SIO MPENZI WAKE
1. Hujawahi kumtongoza. Unaona aibu ikiwa unampenda huyo binti. Unajifanya kama rafiki lakini lakini hujawahi kuweka wazi msichana afahamu kuwa wewe una hisia tofauti zaidi ya urafiki wa kawaida. Unatakiwa umwambie msichana kuwa unampenda usikae na siri moyoni. Ukishindwa mvutie kwa kumfanyia mambo ambayo anayapenda.
2. Umekuwa rafiki yake mkubwa(best friend) unamshauri kuhusu mambo ya mapenzi unamsikiliza na kumbembeleza anapolia. Na hata yeye hukuambia mvulana anayempenda kwa sababu anakuona wewe ni rafiki yake wa karibu. Hii itakufanya ushindwe kumueleza msichana unayempenda kutokana na mazoea.

Chapisha Maoni

0 Maoni