NYOO NIPE MUMEO 13

NYOO NIPE MUMEO 13
Maneno ya mama yakanikumbusha mambo mengi sana, maana alikuwa akisema mulemule, nilianza kuwaza kipindi ambacho nilikuwa na mimba, nilitokea sana kumchukia mume wangu kiasi kwamba sikutaka kukaa naye hata karibu na hatukufanya mapenzi kabisa karibia miezi mitatu mizima.
Lakini cha kushangaza kipindi hicho sikuwahi kujiuliza mume wangu alikuwa akifanya mapenzi na nani wakati huo wote, kwa sababu nilijua kuwa kiasili mwanaume hawezi kukaa kwa muda mrefu bila kufanya mapenzi hivyo lazima tu alimtafuta mtu sehemu ili apunguze hamu zake.
Hapa niwape somo dada zangu na wadogo zangu ambao eti wana mapenzi ya mbali ‘long distance relationships’ na eti miezi hata sita na wanaamini kabisa wapenzi wao kuwa wao wapo peke yao, siyo kweli wanachepuka.
Lakini cha kuwapongeza wanaume ni kwamba, wao huchepuka na kusaliti ndoa kwa ajili ya starehe zao tu, na siyo kama wamewapenda kweli hao wanawake, na ushahidi ni kwamba mwisho wa siku hurudi nyumbani kwa wake zao, tofauti na wanawake ambao wakisaliti ndoa wamesaliti kwa moyo na akili, nadhani ndiyo maana hata Mungu aliwafanya wanaume wawe wagumu mno kusamehe mwanamke anayechepuka kuliko kwa mwanamke kumsamehe mwanaume anayechepuka.
Lakini hata hivyo tatizo huwa pale ambapo mwanaume wako anaanza kukuletea dharau na kukuoneshea wazi kuwa anakusaliti, hapo ndiyo ujue fika kuwa mwanaume wako hajakusaliti kwa mapenzi tu bali amependa kabisa au umezidiwa ufundi.
Haya tuache hayo turudi kwangu sasa, nakumbuka pia hata wakati nimejifungua Kendrick kufanya, mapenzi kwetu ilikuwa ni mara moja moja sana na hata tukifanya inakuwa siyo kama enzi zile, maana kwa wiki ilikuwa tunajinyosha hata mara nne, iwe mchana, jioni, usiku, asubuhi, kwenye kochi, sakafuni, bafuni, kweli ilikuwa raha sana. Lakini sasa hivi mh hapana. Na tatizo lilikuwa ni mimi kubezi kwa mtoto. Hivyo maneno ya mama yakanifanya niamue sasa kurudisha enzi zetu na Mr X wangu.
NYOO NIPE MUMEO 14
“Mary mwanangu, nakwambia hivyo maana nyinyi ni vijana na mara nyingi mnakosaga uvumilivu na kuishia kuachana tu harakaharaka, sisi wa mama wa kizamani tunavumilia vingi sana, unakuta mume wako kabisa anatembea na kitoto kidogo kama mwanaye, lakini unavumilia sasa sijui kama ingekuwa wewe unaweza kuvumilia,” alisema mama lakini nikagundua machozi katika macho yake yakiwa yanalengalenga.
“Mama kwani kuna nini?” nilimuuliza lakini hakuendelea kujibu akaanza kutokwa na machozi tu. Lakini hakufungua mdomo kabisa, na mwishowe akaondoka zake. Nilimuacha kwa sababu huwa namjua kwa kuficha siri hajambo na hapo kusema kinachomsibu ni mpaka aamue mwenyewe.
Nikakaa pale kitandani na kuanza kujifikiria mwenyewe, sijui nini kilinifanya nikumbuke ile siku ambayo nilikuwa nimelewa na kumsikia Fatuma akiwa na mwanaume pale kwenye midizi ya karibu na nyumbani.
Basi nikaenda hadi pale kwenye kile kichaka cha midizi, nikakuta chini kuna majani fulani makavu yamelala kama vile yalikaliwa, lakini nilipocheki vizuri nikagundua kulikuwa na kondomu iliyokwisha tumika. Nikajiuliza kuna sehemu niliwahi kuyaona hayo majani, niliyaona wapi? Nikashtuka kuwa majani hayo nilimuona nayo mume wangu asubuhi yakiwa kichwani kwake.
Nikaanza kuchanganyikiwa, nikahisi kuwa lazima Jermaine alikuwa hapo na Fatuma usiku ule, nikajihisi kuchanganyikiwa kwa kweli. Tena nikiyamix na yale maneno ya Fatuma aliyoniambia siku hiyo nikawa nimeshushuka ile mbaya.
“hapana, haiwezekani?” nilitembea kuelekea nyumbani nikiwa nalia.s
NYOO NIPE MUMEO 15
Nilifika na kufuta machozi kidogo na kuanza kufikiria nifanye nini, nikaona kama kweli Mume wangu alikuwa ametembea na Fatuma nitauficha wapi uso wangu, yaani bora angetemba na Catherine au Getu, Fatuma? Hapana.
Lakini huenda alikuwa amezidiwa kama binadamu na si kingine, Mr X wangu hawezi kumpenda mwanamke mbaya kama Fatuma.
Sasa nikapanga kwa hasira nimfanyie Mr X mambo niliyomfanyia mwaka jana, kwanza nikamsubiri alipofika tu, kutoka kwenye matembezi yake nikambeba na kumtaka twende mahali. Huwezi amini nilimpeleka gesti ileile tuliyokutanaga mara ya kwanza pale Sinza Afrikasana.
Alipoona hivyo akashtuka sana, lakini nikiwa na hasira zangu, nikaingia naye ndani tena uzuri tukapata chumba kilekile. Niligundua alionekana akiwa na maswali mengi mno lakini na mimi nilionesha uso wa mbuzi.
Nikaweka Bigijii mdomoni na kuanza kuitafuna kwa nguvu, nikamsukuma Mr X kitandani, akadondoka kama mzigo nikachukua sidiria yangu na kumfunga nayo mikono yake pale kitandani, akawa hawezi kuchezesha mikono. Kisha nikachukua mtandio wangu na kumfunga nao machoni naye hakupinga wala nini badala yake akatulia tu kwa sababu ni mjuzi wa mapenzi alijua ninachotaka kumfanyia hivyo akatulia kimya.
Nikafanya makusudi kuweka wimbo wa mziki wa kisingeli ambao nilikuwa nikiusikia sana mtandaoni nikiwa Marekani ni wa Manfongo unaoitwa Hainaga Ushemeji Tunakulaga.
Nikavua nguo zangu na kuanza kumfuata taratibu pale kitandani nikifuata mirindimo ya wimbo huo, siku hiyo nikijiapiza kufanya ufundi wangu wote ili mradi nirudishe heshima ya ndoa yangu ambayo ilionekana wazi kuwa kuna kidudu mtu ameingilia.
Itaendelea..
NYOOO NIPE MUMEO 16
Nikampandia na kumkalia kwenye miguu yake, kisha nikamshika selebobo wake nikawa kama vile namnyonganyonga lakini siyo kwa nguvu. Kusema kweli nilijikuta siku hiyo nikimtazama Mr X kama vile alikuwa mpya kwangu yote ni kwasababu tulikuwa hatujafanya mapenzi kwa muda mrefu mno.
Kuna kitu kichina kinaitwa ‘Jing’ hii ni nguvu ya muungano wa mapenzi ambayo wapenzi huwa nayo na wanaikuza kila mara wanapofanya mapenzi ni kama vile bond fulani yenye nguvu mno, na pindi wapenzi wanapokuwa hawajafanya mapenzi kwa muda mrefu hii Jing huvunjika na upendo taratibu hupungua na kama msipokuwa makini mnaweza mkaachana kwa kila mmoja kumchoka mwenzake.
Kwangu mimi na Mr X nilihisi Jing yetu ilikuwa ikikaribia kuvunjikia kwa Fatuma. Nikadhamiria kurudisha hiyo Jing yetu tena. Basi nikaanza kumsugua taratibu bakari-Kichwa wake, nikienjoi ngozi ya juu ya Selebobo ilivyoteleza juu ya mti nyama wa ndani ambao ulianza kuwa mgumu na kusimama kadri nilivyokuwa nikimsugua.
Nikaona japo kuwa alikuwa akijikaza lakini hisia zake zilionekana kuwa karibu sana kipindi hicho, akawa anahema haraka akitaka tuanze kusosomola. Tena Mtinyama wake ulivyosimama wima sana ukaanza kutoa vimajimaji fulani hivi. Nakumbuka nilisomaga sehemu kuwa maji haya yana kemikali maalumu aidha asidi au alkali ambayo katika kufanya mapenzi huingia kwa mwanamke na kutengeneza hali nzuri ya mbegu kusafiri vizuri hadi kutunga mimba.
Kuna baadhi ya wanaume huwa na ugonjwa wa kutokuwa na huu umajimaji na kama hawana maana yake mbegu zote hufa kabla ya kufika mji wa uzazi.
NYOO NIPE MUMEO 17
Kwa hiyo furahini mkiona haya majimaji kwa waume zenu ni dalili pia kuwa umewaamsha ile mbaya na wapo tayari kukojoa muda si mrefu.
Basi baada ya kuhakikisha nimemjaza sumu vizuri nyoka wake, nikageuka kuelekea miguu yake, nikamshika miguu na kumwachia msambwanda kwa nyuma huku nikiukatikia mdyudyu wake uliokuwa ukipita katikati ya mfereji wa Ikweta hadi kuelekea kwenye mzinga wangu wa asali.
Nikatulia kwa muda nikimfanyia hivyo, yeye alionekana kupandisha sana mzuka kwa mchezo wangu huo huku nikinogeshea kwa kukatika harakaharaka kama ule wimbo wa Manfongo ulivyokuwa ukienda.
Nikasikia akiugulia.nikajua tu anataka nisiendelee kumchezea bali niruhusu koni yake iingie kwenye mgodi wangu.
Basi nikailengesha na ikaingia taratibu. Lakini nikataka isiingie yote, nikaimeza kichwa tu na kukianza kukizungushia. Taratibu juisi ya mahaba ikaanza kunitoka na mimi huku dudumizi wake alivyokuwa akinigusa kwenye mashavu yangu ya ndani akizidi kunikoleza.
“Baby iingize yote!” alilalamika Mr X, nikamtazama na kutamani kumuuliza kwa Fatuma alifuata nini? Lakini nikaamua kukausha.
Nikajibinua kidogo basi kama vile Mr X alijua akajinyanyua ikaniingia yote pyuuuuu! Juisi nyingi ya mahaba ikanitoka. Nikaanza na mimi kumchekecha cheketua mimi nikiwa nimeshikilia usukani juu yake.
Sikutaka anishike popote na hivi alikuwa hanioni ninachofanya nikafanya ninavyotaka bila kuona aibu ya jinsi sura yangu inavyokuwa pindi ninaposikia aina mbalimbali ya utamu wa mchezo huo wa kikubwa.
Baadaye nilianza kumuona akinizidi nguvu na kung’ang’aniza kuitoa mikono yake pale kwenye kitanda tena huku akilalamika niongeze spidi. Hapo nikajua kuwa lazima alikuwa akikaribia kukojoa.
NYOO NIPE MUMEO 18
Nikajichomoa na kuanza kumnyonya mtalimbo wake kwa mdomo, kweli ile chumvi chumvi niliyokuwa nasikiaga kwa wenzangu nilikuwa nikiisikia ile mbaya. Kumbe wanaume wakisema wanaingia chumvini maana yake chumvi hii.
Basi nilinyonya bila kuona kinyaa, tena nilipanga kumeza na uji wa mtoto wote, maana nilipokuwa Marekani nilisikiaga kutoka kwa rafiki zangu kuwa wanaume hupenda sana wakifanyiwa hivyo. “ahhhhh “ alisisimkwa Mr X wangu, uji ukimripuka kama mlima wa volcano, nikaubana na kuumeza wote, nikikubali kufanya yote hayo kwa mara ya kwanza na kwa sababu tu nilikuwa nikimpenda na kutaka kurudisha penzi langu.
Nikajiuliza kama Fatuma aliweza kumfanyia hayo yote. Nikamfungua ule mtandio wangu na ile sidiria na kumtaka anifunge mimi kama nilivyomfunga yeye muda wa raundi ya pili. Alinitazama kama vile alitaka kuniuliza swali lakini alisita.
Basi ikawa zamu yangu, ikawa mwendo wa kutwanga na kupepeta tu, hadi tukamaliza jionijioni hivi. Tulipanda gari na kurudi nyumbani njia nzima akinisifia mno. Kama kawaida nikaenda zangu chumbani kulala na yeye akaenda kulala chumba cha wanaume.
Mapema asubuhi niliamka, na kwenda kuandaa kifungua kinywa, jikoni, kwa mbali kwenye chumba cha baba nikasikia majibizano, nilijua tu pengine wazazi wangu wamekwazana jambo, nikawaacha waendelee na yao maana hata mimi mwenyewe nilikuwa na makwazo yangu.
Nilipomaliza nikaona cha msingi niwaite mashoga zangu Catherine na Getu mchanamchana ili niwachunguzechunguze kama siku ile nilipolewa na kurudishwa nyumbani, wao walikuwa wakijua nini kilichokuwa kikiendelea kati ya mume wangu na Fatuma.
Itaendelea..
NYOO NIPE MUMEO 19
Alianza kuja Catherine, nikaanza kumbana anielekeze nini kilichotokea juzi usiku huku nikiwa makini kutomtaja moja kwa moja mume wangu wala Fatuma.
“Mh kwani Mary una maanisha nini? kwa sababu siku ile kulikuwa na vituko vingi sana,” alisema Catherine.
“kama vituko vipi?”
“Mh kama mumeo kuanza kuongea kingereza baada ya kulewa, kingine wewe kulewa savannah nne na kulala,” alisema Catherine lakini sikutaka hayo, nilitaka aniambie kuhusu Fatuma, basi nikatengeneza swali ili mradi tu asinishtukie maana yangu kuwa eti ninahisi naibiwa mume na Fatuma maana itakuwa aibu.
“Niambie kuhusu Fatuma, alikuwaje siku ile.” Niliuliza tena.
“mh sijui kama nitakumbuka vizuri maana mimi mwenyewe nilikuwa nimelewa kweli, lakini Fatuma alikuwa mtambo noma! alikunywa ile mbaya na ilivyokuwa chukuchuku yule lazima aliondoka na mtu pale baa.”
“Chukuchuku ndiyo nini? aliondoka na nani?” nilijikuta nauliza harakaharaka huku mapigo ya moyo wangu yakinidunda kwa kasi.
“shoga na wewe, huo umarekani umekukosesha mengi! Chukuchuku maana yake ni msichana rahisirahisi kuwavulia nguo wanaume,” alisema Catherine moyo ukanifanya “Pah!”
“kwa hiyo aliondoka na nani?” niliuliza tena maana hakuwa amenijibu swali hilo muhimu.
“Aliondoka na nani nini?” aliongea Getu akiwa amedandia treni la maongezi kwa mbele basi akatusalimia na kukaa chini ikabidi niulize swali langu upya.
“Mh shoga mimi nilikuwa nimelewa kiukweli hata sikumaki vizuri, ila Getu wewe si ulikuwa hadi mwisho?” alijibu Cathe na kumuuliza Getu ambaye badala ya kujibu alianza kuzugazuga, lakini kwa jicho nililomkata ikabidi aongee mwenyewe.
“mh nani mimi mwenyewe nililewa mapema tu, nakumbuka nilimuacha baba yako, Fatuma na shemeji tu ndiyo walikuwa wakiendelea kunywa,” alisema Getu, kichwani nikawa nimeshapata jibu japokuwa niliamini pengine walikuwa wakinificha kuniambia moja kwa moja kwa kuogopa kuniumiza hisia zangu.
NYOO NIPE MUMEO 20
Huwezi amini nilijisikia vibaya mno, yaani mtu niliyekuwa nikimdharau kumbe ndiye mbaya wangu. Nikawatazama akina Catherine kama vile wasaliti kwa kuwa macho yao yalionesha wanajua kilichokuwa kikiendelea lakini walikuwa wakinificha.
Hata hivyo nikaapa kupambana na Fatuma kumuonesha mimi ni nani. Kiburi hicho nilikipata kutokana na kauli niliyojifunzaga sehemu kuwa ukiona mtu amekuibia mpenzi wako, usikurupuke kukasirika tu na kuchukua uamuzi mbaya, jifunze kupitia mbinu za huyo mbaya wako kisha rudisha heshima yako.
Swali likawa hizo mbinu za Fatuma alizonichukulia mume wangu ninazipataje? Basi nikawa na kazi moja kubwa, kumtafuta rafiki wa karibu wa Fatuma nje ya sisi.
Kwa siku tatu mfululizo nikiwa nawaza nimtafute nani wa kunisaidia ndipo nikamkumbuka msichana mmoja anayeitwa Hadija, huyu tulikuwa tukisomaga naye zamani. Naye alikuwa akitamani kupinga urafiki na sisi lakini tulimkataa kwa sababu ya alivyo mbaya.
Niliipata namba yake kwa mbinde kweli na kumpigia simu, aliposikia ni mimi alishangaa kweli inaonekana hakuwa akitegemea hata siku moja kama mimi ningeweza kumtafuta kwa shida yangu.
Japokuwa nilihisi hatanisaidia kwa maringo niliyokuwa nikimleteaga, lakini daima uzuri wa mtu hasa msichana humfanya apate kitu anachokitaka kirahisi zaidi kuliko mtu mwingine yoyote, basi nadhani uzuri ukichanganya na hadhi yangu vilimfanya hata yeye kukubali kuonana na mimi, tukapanga siku na saa.
Siku hiyo nakumbuka ilikuwa jumapili moja hivi, tukakutana maeneo ya Mango Garden pale Kinondoni, huwezi amini tofauti alivyokuwa zamani, Hadija wa leo alikuwa mweupe, ana shepu la kufa mtu, mzuri, msafi, nikagundua anamiliki duka la nguo za wanawake pia ni MC/ mshehereshaji.
NYOO NIPE MUMEO 21
Naye aliponiona alinishangaa kama mimi nilivyomshangaa yeye, huwezi amini mimi ndiyo nilimfuata na kumkumbatia huku nikiongea naye kwa furaha mno kama vile tulikuwa marafiki tuliomisiana kwa muda mrefu sana.
“Enhe shoga nasikia upo Marekani siku hizi!” Alianza kuniuliza. Ikabidi nimjibu lakini si kwa kujishaua kama hapo awali, maana Mmakonde mmoja tena mshamba wa Dar nikimaanisha Fatuma alikuwa amenishusha kweli.
“Ndiyo, mh umekuwa ng’aring’ari siku hizi,” nilianza kumsifia akacheka kidogo na kuniuliza tatizo langu.
Ikabidi nizugezuge lakini mwishowe nilianza kumuuliza kuhusu Fatuma.
“Najua Fatuma rafiki yako, ndiyo maana nimekuja ili unisaidie mambo mawili matatu kuhusu yeye,”nilianza.
“kwanza ngoja nikukatishe, Fatuma siyo rafiki yangu kabisaaa! Aliyekwambia kakupoteza, simtaki hata kumsikia!” alisema Hadija.
“Huo urafiki wenu umeishaje, nyinyi si mlikuwa kama mapacha?” niliuliza nikiwa nimepigwa na butwaa.
“Ndiyo tena tumetoka mkoa mmoja, tumechezwa wote, lakini alichokuja kunifanyia sitaki kumsikia hata kidogo, yule shetani siyo mtu!”
“kwani kakufanyia nini?”
“Yule siyo wakutembea na mume wangu mimi, we acha tu Mary kama umekuja kwa ajili ya huyo paka shume hata sitaki kuongea! Kwa heri,” aliwaka Hadija na kutaka kuondoka akionekana wazi nimemkwaza.
Nikaona haina haja ya kumficha kwa sababu tatizo lake linafanana kabisa na langu.
“sikia Hadija nimekuja kwako kwa sababu na mimi kanifanyia hivyohivyo!” niliongea kwa aibu basi akiwa amesimama akageuka na kunitazama vizuri.
“Nini! ..aaah.. hapana.. yaani ndani wa wiki moja tu kashakupindua kwa Mmarekani?.. jamani. Si rafiki yenu yule wenyewe!” aliongea kwa sauti Hadija hadi nikaona aibu maana watu walikuwa wakianza kutuangalia, akajishtukia na kukaa vizuri kwenye kiti.
“Enhe shoga, hebu nikae vizuri sasa unataka mimi nikusaidie nini? unataka tumfumanie? Maana nina namba ya Gea, Issa Mnally, @dahuuofficial @edsonmkisi77 @soudybrown na mapaparazi kibao!” alisema Hadija.
NYOO NIPE MUMEO 22
“Hapana sitaki nimfumanie, maana nitajidhalilisha mimi na mume wangu.”nilijibu harakaharaka.
“sasa unataka nini tumpigie kigoma au?” alisema Hadija akionekana kushadadia kweli.
“sikia mimi nataka kitu kimoja tu kutoka kwa Fatuma, nataka kujua alifanyajefanyaje hadi akamchukua mume wangu,”
“mh, shoga mbona makubwa! Unasemaje?”
“ndiyo hivyo, nataka kujua hivyo tu, pengine kanizidi ujuzi au kosa labda ni la kwangu nimeshindwa kumdhibiti mume,” niliongea taratibu, Hadija akanitazama akiwa haaminiamini kama nilikuwa nipo siriaz.
“mh kwahiyo unataka mimi nikusaidie ujue ujuzi wa Fatuma akiwa kitandani si ndiyo?”
“Ndiyo shoga yangu, hilo tu hata kama utataka hela nitakupa,” nilisema ili lengo langu litimie.
“sikia mimi nitafanya kitu kimoja, nitamtuma mwanaume akamtongoze Fatuma, halafu nitamtaka atuhadithie kila kitu atakachofanyiwa na Fatuma hadi wakiwa wanafanya mapenzi. lakini shoga sijui kama unachokitafuta utakipata,” alishauri Hadija nikaona huo mpango wake ni mzuri.
Nikiwa na uhakika kuwa mambo yote yataenda poa, siku hiyo nikampa shilingi elfu hamsini, na yeye akanihakikishia kazi imekwisha.
Nikaagana naye kwa yeye kuniambia atanipa taarifa ya kazi hiyo, na mimi nikashauri kuwa mtu atakayemtuma anapaswa kuwa mtu smati kiasi kwamba hata Fatuma akimuona asisite kumfanyia utundu wake wote ili mradi tu na sisi tumsome vizuri.
NYOO NIPE MUMEO 23
Basi mtoto wa kike nikiwa sijiamini kabisa, nikarudi zangu nyumbani na kukuta kuna kikao, nikasikia tu walikuwa wakiongelea maandalizi ya sherehe yetu ya utambulisho kwa ndugu, Mr X wangu pia alikuwepo.
Kwa kuwa walikuwa wanaume tupu, nikawasalimia kwa kupiga goti kisha nikaingia ndani nikienda kumuangalia mwanangu maana hayo masaa mawili tu ya kwenda kuongea na Hadija niliona kama vile sijamuona Kendrick siku nzima.
“mmaaa,” aliongea mwanangu neno lake la kila siku na kuripuka kwa furaha aliponiona, nikambeba na kuanza kucheza naye nikimuimbia nyimbo za kitoto za Kimarekani, ikiwemo Twinkle Twinkle Little Star na Row Your Boat Gently Down The Stream.
Siyo siri nampenda sana mwanangu kuliko chochote, nilijiwazia ikiwa siku nikamkosa na kwenda mbali naye sijui itakuwaje. Nikawaza kama ile ndoto siku moja ikatimia kweli na Mr X wangu akamuoa Fatuma halafu Kendrick akawa mtoto wa kufikia. Mh Mungu aniepushie.
Nikaapa lazima nipambane. Kurudisha changu.
NYOO NIPE MUMEO 24
Basi baada ya siku mbili tu nilipokea simu kutoka Hadija akinitaka nikaonane naye, nikajiandaa harakaharaka na kwenda zangu mbio.
“Eeh shoga mambo yameiva,” alisema Hadija akiwa anaongea, ghafla alikuja kijana mmoja mzuri hivi, akaketi palepale tulipokaa na Hadija huku akinisalimia.
“Mary, Huyu ni yule kijana tuliyemtuma atembee na Fatuma, anaitwa Steve, Steve huyu ni Mary.. Enhe tusimulie ilikuwaje? kwanza vipi ushakula mzigo?” alisema Hadija.
“sasa mimi nimshindwe yule? Mbona mwepesi tu,” alianza kuongea kwa mbwembwe Steve.
“siku ileile sista alivyonicheki tu, nikamuibukia Fatuma mtaani kwao, nikamtongozatongoza pale nikajifanya ileile, kimtindo alijifanya kuchomoa, lakini nikamtuliza baa ya pale Kivulini, akaona nimefika kweli yaani. Si unajua yule chukuchuku hasumbui.
“Lakini jamani yule demu muoneni hivyohivyo kwa nje alivyokuwa mbaya, ndani yule ni ‘asali’ aisee, anakunjuka hadi raha, halafu kitu kimebana ileile,” alisema Steve akionekana alichokipata huko ni noma.
“sikia kaka, mimi nataka uniambie huo uasali wake upojeupoje yaani, bado sijakuelewa?” niliuliza maana niliona anamsifia tu wakati mimi nataka kipengele kimoja baada ya kingine.
“kwahiyo unataka nikupe mkanda mzima?” aliuliza Steve kwa mshangao.
“Ndiyo maana yake, tueleze mwanzo mwisho pale kitandani ilikuwaje?” alishadadia Hadija. Steve akajikohoza kidogo kusafisha koo na kuanza kutuelezea. Kipengele hadi kipengele alipomaliza nikamuinulia mikono Fatuma.
Je, unataka kujua Steve aliongea nini kuhusu Fatuma? Itaendelea

Image result for sexiest black girls

Chapisha Maoni

0 Maoni